JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za usiku. Ndoa ni utumwa. Ndoa ni umasikini. Ndoa ni source ya mafarakano Ndoa ina leta chuki. Ndoa ni ubinafsi. Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa. Kijana KATAA NDOA FANYA MAISHA
16 Reactions
130 Replies
4K Views
Akikuulza" Namba yangu umepata wapi?" Unajibu vipi km mwanaume ambaye hutaki kumchoma aliyekupa namba?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilikuwa nimelala naota nyoka wananitembea usingizi umekata naogopa hapa sana 😭😭😭 siwezi lala tena
1 Reactions
20 Replies
970 Views
Abali.nachukuha nafagi iyi kuwafakiya elii yasiku kuu yapasaka na mwakamupya. Kwagu himerera mujikeri kidodo kwafababu.mukeewangu hamenipigiya chakura chene chuvi jigi. Sijaranimemupa era awende...
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Yaani ndio tungelikuwa na tunamtaa wetu wenye roho Mbaya utawaona tu. Nimewauliza pasaka lini hadi Leo hawajanijibu, eti nqkutanq nayo hii hii lfaji r. Wengine ttumekesha wote jf usiku wa...
4 Reactions
3 Replies
377 Views
Nilidhani nishajua style zote za kitandani mpaka juzi niliposikia chumba cha jirani baby panda dirishani ufanye kuidondokea
1 Reactions
7 Replies
754 Views
Au sio wakuu mulio kwenye mfungo mkae kwa kutulia
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Jamani nimeshinda ndani naumwa nimepika ila sijakula vizuri naumwa wapendwa au mmeniloga nisitoke leo? All in all bado naumwa najisikia vibaya sana
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
0 Reactions
26 Replies
1K Views
WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa...
22 Reactions
365 Replies
26K Views
Hawa jamaa wananichekesha sana humu JF fuatilia comments zao halafu utaelewa namaanisha nini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wikiend wandugu,,,,, Niende Moja kwa Moja kwenye mada Mimi nikienda bar Huwa naenda kukaa viti vya juu pale kwa muhudumu huku nikiendelea kufyonza mvinyo taratibu sana Share experience...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Mikopo tumekopa sawa,ni kipi cha maana kimefanywa na hiyo mikopo? Hilo ni swali, nahitaji majibu
2 Reactions
18 Replies
656 Views
Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote. 1. Niamini...
1 Reactions
6 Replies
474 Views
Nawatakia Heri ya Sikukuu ya Pasaka Ndugu Zangu Wakristo.
4 Reactions
11 Replies
500 Views
kwanini wanawake mnapodeki huwa mnafunga khanga, hata kwa wale ambao hamna mazoea kabisa ya kujifunga khanga? Nahitaji majibu sio maelezo.
2 Reactions
13 Replies
559 Views
Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
0 Reactions
5 Replies
417 Views
Hivi ni lazima, mtu ukiwa na imani yako si inatosha?
1 Reactions
17 Replies
486 Views
Hellow Rafiki zangu wapendwa wangu niliwamic sana nilipewa ban nimefunguliwa leo nikaribisheni upya nipe story kwa ufupi kipindi sipo kilitokea nini? Nina furaha leo sana
5 Reactions
33 Replies
785 Views
Back
Top Bottom