Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo.
Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku.
Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu...
Waruka na ungo usiku mnafeli wapi?
Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho...
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF...
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK...
Jf member wote nawatakia kheri ya sikukuuu ya pasaka karibu nyumbani ila ukija uje na nauli yako na hela ya soda
Nawatakia watu wangu wa nguvu kheri na furaha tele
Punguani Gily mrembo Lenie...
Rais mwenzako sifi Leo ndo napita Ikulu zote mbili yaani Magogoni, na apo DODOMA nikiwa na Ungo wa Babu ila nikwambie ukweli ndio maana nchi inaibiwa.
Inakuaje muda huu ikulu muda huu hakuna...
Wakuu,
Nafurahi leo mtani wangu kikabila GENTAMYCINE ameweza kunitumia zawadi, maana baada ya ushindi wa JamiiForums majuzi, nilimuomba walau akipata zawadi anitumie kidogo.
Sasa kisa kinaanza...
African dont sleep wake up
Tuanze hii challenge una andika namba mbili za mwisho wa mwaka wako wa kuzaliwa mpaka umapate mdogo wako au kaka yako au dada yako au mchumba wako
Naanza mimi 06...
Mtalii na mtafsiri wake bongo hotelini.
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.
Mtalii: OK, fine, do...
Kutokana na wabongo wengi kutuonea wivu sisi waishi ulaya nimeona nifungue huu uzi ili nyie mlioko nchi za maziwa makuu mje humu mumtaje mwana ulaya mmoja mkimtaka atoe uthibitisho wa yeye kuwa...
Hellow
Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine?
Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa...
Daah sio poa aisee
Sema nini, nshaelewa. Kweli nyumbani ni nyumbani tu.
Angalizo: Tuwe makini sana tunapoingia kwenye nyumba za watu, office za watu, majengo ya watu, mashamba ya watu, mitaa ya...