Mida ya kupumzika na kutuliza akili hizi ndo nyimbo pendwa
1."sacrifice by Elton John
2."Sexual healing" Marvin gaye
3."kenny G " forever I love
4 "Joe ".i believe in you
5. "Ruben studdard" I...
Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski
"Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu
Maisha yaliendelea...
Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina...
Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni...
Kuna Watu Ni Bure Kabisa! ππ
1. Unapewa lift unamwambia mwenye gari apunguze sauti ya redio na wakati kuna ngoma yake anasikiliza! Wewe ni bure kabisaπ!
2. Unaingia kwenye ofisi ya mtu, simu...
Wadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
Zebra Question by Shel Silverstein.
I asked the zebra
Are you black with white stripes?
Or white with black stripes?
And the zebra asked me,
Or you good with bad habits?
Or are you bad with good...
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.
Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na...