mhhh niliwamiss charminglady na Elizabeth Dominic , afu nasikia kuna dereva wa daladala la msuto Nicas Mtei anahonga faranga tu, angalia sana mwenye mji nimerudi, yasije kukupata yaliyo mpata...
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika. Sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku...
inavyosemekana ni kwamba xmass imepoteza jna lake, hii imetokana na zamani hadi poverty people walikuwa wako active wakiremba pamoja na kupamba ndani pamoja na kula ubwabwa, also watoto kuvaa nguo...
A man in Newfoundland calls his son in Calgary two days before Christmas and says, "I hate to ruin your day, but I have to tell you that your mother and I are divorcing; forty-five years of misery...
MOSHI = Mungu Onyesha Hela ilipo
ROMBO = Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba HIMO = Hata Ikipungua Mungu Ongeza MARANGU = Mungu Angalia Raia Ngawira Utuhakikishie
MAMBA = Mungu Ahidi...
Mazee nipo ndani ya Mbeya, ni mpana kupita maelezo,itakuwa poa kama tutaonana japo kwa wale itakaowezekana, pamoja sana full love. I LOVE MY MOTHERLAND
Its the most beautiful time of the year
Blessed is Justin Bieber for this wonderful song. Nimedediketiwa, na mimi nalidediketi kwenu kama lilivyo.
Haya na wewe hebu lidediketi hili lisongi kwa...
Kulikuwa na malecturer wakija lecture theatre wanawauliza, HIVI NYIE WOTE MNATAKA KUITWA GRADUATES??? Kwenu hakuna mashamba? Haiwezekani! Lazima wengine mpungue!! Anawafundisha kidogo aafu...
yaani sikukuu yote imeishia kitandani. jana nimetoka kibaruani nikafungua box la overmeer nikanywa kama lita hivi. kutoka hapo nikajisogeza maeneo nikapiga dompo mbili. baada ya dompo ya kwanza...
Habarini za siku wapendwa wote na members wa chit chat? Nilikuwa mbali nanyi bila kuwaaga,
mnisamehe kwa hilo,ila ni mwingiliano wa majukumu tu.
Nimewamiss sana na nawatakia heri ya x'mass wote.
Kwa mwelekeo ninaouona hapa MNDENYI mvua imeongeza baraka ila chonde chonde jamani nataka kujirusha mimi, ila nawapenda wote na hakuna mtandao utakaonitenganisha na JF.
Habhari yenu bhana,wana chitchat.
Ni kwa mara nyingine tunawadia katika zile pilikapilika na shamlashamla za kumsaka miss chitchat wa kila mwezi.nikukumbushe tu kuwa shindano hili lilianza mwezi...
Wakuu habari za sikukuu! Taarifa za utani toka Mwanza zinadai, Wanaharakati wanaotetea haki za wanyama jijini Mwanza, wameandamana kuelekea ofisi za umma kushinikiza serikali iingilie kati...
Merry Xmas
Merry Xmas
Christmas wishes Faith
makes all things possible,
Hope makes all things work,
Love makes all things
beautiful,
May you have all the three for this...
X mas ndio hiyoooo! sijapata mwaliko hadi hivi sasa jamani, umri wangu ni wa kutosha tu,uzoefu wa muda mreeefu wa kuutandika mpunga, nakuja na pilipili yangu(sio chili) ni ile ya asili! na ndizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.