MUNGU awatangulie mfike salama japokuwa mimi binafsi nilipenda sana kuungana nanyi kwa sababu zisizo zuilika nimeshindwa safari njema.MUNGU ATAWALINDA MTOKAKO NA MUINGIAPO AMINA.
Wakuu nawaletea Risala fupi ya marehemu SSM kama ambavyo nilipita katika kikao kimoja cha Wazee na kusikia haya:
1. Marehemu alizaliwa 5.2.1977
2. Enzi za uhai wake marehemu alijishughulika na...
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba boti yenye abiria 250 na mizigo tani 16 iliyokuwa inatoka Pemba kwenda Unguja asubuhi ya leo Imefika salama bandari ya Unguja.. tehe tehe tehe cheki...
kuna tetesi zimenifikia punde kuwa walioshinda MMU na CC ni nyumba ndogo.
Hii imetokana na Nyumba Kubwa kukaba hadi penati leo siku ya sikukuu, wahusika wamekosa visa za kutokea.
Sehemu ya...
....leo nimekuona unakula nyasi za wizi pale Chekereni wakati natoka Dar. Bahati mbaya sikuwa na camera na kamchina kalikuwa kameishiwa charge. Otherwise ningekutoa live hapa ukumbini!
Kwa kipindi kitakatifu kama hiki cha kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya, sioni dalili yao ya kumaliza tofauti zao pamoja na kuanzisha thead ya kutapishana NYONGO. Nakuomba AshaDii, Mtambuzi...
Kuna baadhi ya wabeba box hapa JF wamejaa dharau sana nakuwaona kama waliopo home hamnazo ila wao washavuka maji ndio wana akili acheni tabia za kipuuzi hizo kuishi nje ya nchi sio kuwa unajua...
Paka ana misuli 32 kwenye sikio lake moja
Mende anaweza kuishi kwa wiki kadhaa bila kichwa
Twiga anauwezo wa kukaa mda mrefu bila kunywa maji kulinganisha na ngamia
..........:::wekeni na zenu...
Ndugu wajumbe na wadau wa jukwaa hili maalum la watu wasio na msongo wa mawazo,
Ninawaandikieni waraka huu kuwatakienyi nyote NOELI njema na heri ya mwaka mpya 2013. Nawaombeni safari hii tupeane...
Wametengeneza simu na kuziweka Lugha ya Kinyakyusa, ambayo zitakuwa zinasomeka kama ifuatavyo hivyo msije mkastuka sana.
1. INGAMU (Phonebook).
2. AMASIMBO (Messages).
3...
A young man and his date were parked on a back road some distance from town. They were about to have sex when the girl stopped.
I really should have mentioned this earlier, but Im actually a...
(((((MMACHINGA))))))))
Hapo zamani kulikuwa na MMACHINGA mmoja hivi ,alikuwa anauza Kofia ,na kila akirudi nyumbani yeye hupita njia moja polini , kutokana na uchovu wa safari yeye Mara nyingi...
Kwa MARA ya kwanza nimeanza kampeni za safisha njia to My arabela kuwa Miss chit-chat mwaka huu,..
nawaomba wote mjitokeze kumpgia kura My wife.
Sifa zote anazo,na nitoe onyo kwa wanaopanga...
1. Mvua ikinyesha wakati jua linawaka .simba anazaa
2. Ukinywa maji ya nazi utapata busha
3. Mtu akikuruka ..utakuwa mfupi
4. Usiokote chakula kilichodondoka ..shetani amekila
5. Mtu...
Wakuu.....muda unasogea na bata tunataka kula.....bila kuwezesha itakuwa maneno mbofumbofu.....
hivyo basi......kamati kuu imependekeza....tarehe ya mwisho ya kupokea mshiko ni 21st Dec...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.