JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nina siku kama ya tano sasa,Instagram yangu haipate update yeyote na imesimama kabisa habar zilizokwamia ni zilezile. Mwenye kujua na kunisaidia hili jambo anielekezi japo kuna hatua nimefuata...
1 Reactions
9 Replies
262 Views
Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
IMAGINE umeondoka leo duniani utakumbukwa kwa jambo gani?
0 Reactions
24 Replies
665 Views
Binadam! Binadam! Binadam[emoji119][emoji860]
7 Reactions
7 Replies
676 Views
Kazini watu hawali kabisa wanafika asubuhi hadi saa kumi unamuona MTU hatii kitu mdomoni.
2 Reactions
18 Replies
775 Views
Katika maisha tunakumbana na mambo mengi sana pasipo kutarajia,nimepata kuona na kusimuliwa baadhi ya mambo ambayo watu wanakutana nayo. Uisha wahi kuona ama kusikia mtu kaoa harafu kesho kutwa...
1 Reactions
55 Replies
2K Views
Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari...
2 Reactions
55 Replies
2K Views
Wenyeji wa mji huu nipo njiani kufika naomba kujua ni sehemu gani nzuri kulala na kushangaa shangaa mida ya jioni hivi, maeneo yasiyo na kilevi wala bar
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Fido dido mara ya kwanza kutambulishwa ilikuwa mwaka 1985. mchoraji wa Fido Dido anaitwa Joanna Ferrone; Sue Rose. Miaka 90 fido dido tume muona sana kwenye matangazo ya 7up
3 Reactions
3 Replies
340 Views
Ukichelewa kurudi nyumbani ni shida,ukiomba unyumba unapewa kwa manyanyaso.Ukikutwa unaongea na mwanamke mwingine hata kama ni mambo ya kawaida unaweza kulala Lock up.Kila kitu unaelezwa kwa ukali...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Tuepane mishe wadau wapi niweke ka pesa chap nipate kakibunda ka kumtutumua mtoto wa ma mkwee?
4 Reactions
2 Replies
374 Views
Habari wakuu Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii -changamoto zake -kupeana taarifa za kiusalama -maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi -upatikanaji wa...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf, nina jambo napenda kuwashilikisha ili nipate mawazo yenu, kuna eneo lipo kijijini kwetu ili eneo ni mali ya mama yangu, siku za hivi karibuni ilisadikika kuna madini kwenye...
0 Reactions
3 Replies
288 Views
Wakuu, hii Kinondoni, Sinza na Mikocheni wapi napata apartments nafuu?
0 Reactions
4 Replies
482 Views
Baada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine. Mama yeye anasema akivaa...
27 Reactions
65 Replies
5K Views
Khali za uzima jamani Jana baada ya kutoka job mida ya saa kumi jioni nikaenda chimbo jipya kwangu kwa ajili ya masaji. Home niliona ni mapema sana kurudi. Kwa kweli dsm ni pana mno mno mno...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello my people mnaendeleaje aise. Husika na kichwa cha bari yap juu. 1. Single 2. Married 3. Divorced Heaven Sent Karibuni Kwa maoni nyote
3 Reactions
6 Replies
277 Views
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry...
7 Reactions
182 Replies
5K Views
Back
Top Bottom