Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani?
Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu
Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu!
Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake😂😂😂
Yaani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.
Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.
Yaani nimetoa jamaa tendwe tukapate supu...
Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia.
Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea...
Leo nimempeleka dogo shule, ana miaka 7,nilipokuwa kuwa naye shule akanionyesha mwalimu mmoja, eti baba unamuona yule mwalimu pale, nikamwambia ndiyo akasema ni muongo balaa.
Nikamuuliza kwanini...
Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi.
Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna...
Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao.
Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi.
Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao.
Wanapigwa vipapayu.
Hapa bila serikali kuingilia kwa...
Emoji zilizotumika zaidi kwa mwaka 2022;
Ya kwanza ni [emoji23]
Ya pili ni [emoji24]
Ya tatu ni [emoji1787]
Ya nne ni [emoji3064]
Yaa tano ni [emoji3590]
Sent from my SM-J700H using...
Habari zenu wana JamiiForums,
Mm ni kijana miaka 22 , kuna katabia ninacho nahisi kama ni tabia hasi hivi. Nikiona dumu la asali tu mate yananitoka, hadi inafika wakati nikiona asali home...
Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo.
Jana...
Binafsi nimeandaa sherehe isiyo na kifani nyumbani kwangu[emoji122]
Kwenye kamati ya msosi na vinywaji...
Tayari nimekwisha nunua mbuzi mzima, mchele Kg 40, maharage Kg 15, choroko Kg 7,nimeandaa...
MAISHA NA MAAJABU YAKE
✔Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone
✔Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme🙉🙉
✔Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda🤓🤓
✔Aliyegundua pesa alikufa na...
Habari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe...
Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe...
Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.