wakuuuu habarini sana....
Lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya...
Wachawi japo tunawakemea vikali sana, lakini mimi nashukuru uwepo wao kwa kiwango kikubwa!
kusingekuwepo uchawi, sijuwi hali ingekuwaje?!
wote tunajua Mungu yupo lakini si wote wanaomwamini &...
Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana.
Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
Hali vipi wana familia kutoka jf..Mambo yanaenda au sio basi tunashukuru mimi km mimi sisherehekei sana sikukuu hii ya mwaka mpya hivyo sijapika pilau wala kula kitimoto wala pombe nimepika tu...
Kama mwanachama wa vijana wa hovyo naomba kuwasilisha ombi kwa wakatisha tiketi, wawe wanatupanga kwa kuzingatia Gender Balance.
Safari zinakuwa ndefu sana ukiangalia back bencherz ni Girls tupu...
Hawa wachina wakija kwenye miradi kama barabara,ujenzi na mambo mengine.mbwa wanapotea sana tena walio nona ndio dili.
Na vimbwa vyangu kama sungura kila siku jamaa ananifata nimuuzie na huyu...
Za jioni
Hao watu nimewainulia mikono hii location ipo muhimbili unacho fanya unalipia 20000 kama kiingilio tu af unakula mpka unasaza.
Hii special kwa wala bata yaani kama wewe unapenda nyama...
Wajuba tuliowahi kwenda kwa nabii flora Sala Sala tujuane. Kuna wakati katika harakati za kiimani nikajikuta kwa huyu dada pale Sala sale Mbezi, wakati huo watu kumwona unapanga foleni kubwa!
Ukipanda bodaboda halafu ukaona dereva ana story wewe jisemehe kwa nguvu "HII SERIKALI YETU" Kisha kaa kimya.
Hapo ndo utajua kuwa mmbongo mpe kichwa tu habari anayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.