Nina siku kama ya tano sasa,Instagram yangu haipate update yeyote na imesimama kabisa habar zilizokwamia ni zilezile.
Mwenye kujua na kunisaidia hili jambo anielekezi japo kuna hatua nimefuata...
Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda.
Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota...
Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana...
Katika maisha tunakumbana na mambo mengi sana pasipo kutarajia,nimepata kuona na kusimuliwa baadhi ya mambo ambayo watu wanakutana nayo.
Uisha wahi kuona ama kusikia mtu kaoa harafu kesho kutwa...
Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari...
Wenyeji wa mji huu nipo njiani kufika naomba kujua ni sehemu gani nzuri kulala na kushangaa shangaa mida ya jioni hivi, maeneo yasiyo na kilevi wala bar
Fido dido mara ya kwanza kutambulishwa ilikuwa mwaka 1985.
mchoraji wa Fido Dido anaitwa Joanna Ferrone; Sue Rose.
Miaka 90 fido dido tume muona sana kwenye matangazo ya 7up
Ukichelewa kurudi nyumbani ni shida,ukiomba unyumba unapewa kwa manyanyaso.Ukikutwa unaongea na mwanamke mwingine hata kama ni mambo ya kawaida unaweza kulala Lock up.Kila kitu unaelezwa kwa ukali...
Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan.
Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani.
Mwenye kujua huyu fresh jumbe
Habari wakuu
Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii
-changamoto zake
-kupeana taarifa za kiusalama
-maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi
-upatikanaji wa...
Habari zenu wana Jf, nina jambo napenda kuwashilikisha ili nipate mawazo yenu, kuna eneo lipo kijijini kwetu ili eneo ni mali ya mama yangu, siku za hivi karibuni ilisadikika kuna madini kwenye...
Baada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine.
Mama yeye anasema akivaa...
Khali za uzima jamani
Jana baada ya kutoka job mida ya saa kumi jioni nikaenda chimbo jipya kwangu kwa ajili ya masaji. Home niliona ni mapema sana kurudi.
Kwa kweli dsm ni pana mno mno mno...
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry...