JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu za Leo, Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa. Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi...
7 Reactions
58 Replies
974 Views
Eti wakuu mtachukua ipi?
2 Reactions
14 Replies
307 Views
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza! Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza! Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na...
51 Reactions
10K Replies
300K Views
Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako. Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Iwe ni response ya meseji 📩 likes👍reactions😍 🤣 😡au hata dislikes👎 Wajisikiaje?
25 Reactions
138 Replies
2K Views
Ulishawahi kuandika uzi then ukawa na zero replies yaani hakuna mtu kajibu chochote? ulijisikiaje?😅😅😅😅
2 Reactions
6 Replies
184 Views
Mapenzi yafutwe! Kusiwepo na kitu kinaitwa mapenzi hapa duniani! Kisitambulike duniani na juu kwa... Ndoa isitambulike kisheria wala kidini! Kuzungumzia Mapenzi iwe haramu/kinyume cha sheria na...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia...
24 Reactions
135 Replies
2K Views
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana. Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco...
3 Reactions
194 Replies
20K Views
Habari hii haijawahi kuchuja na haitokuja kuchuja kamwe.
3 Reactions
24 Replies
646 Views
https://www.instagram.com/p/DFPWk2ENti6/?igsh=MTF0ZDZvN3R3Y3F3Zw==
3 Reactions
9 Replies
177 Views
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete...
9 Reactions
46 Replies
1K Views
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu. Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai...
3 Reactions
18 Replies
359 Views
Kwa nini soda (Peps Take Away) za Singida hazijai inavotakiwa!?? Yaani zipo PUNGUFU kwenye ujazo wake...
5 Reactions
12 Replies
286 Views
Habari za muda huu wanajamvi! Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)? 🔹 Ulijisikiaje? 🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama...
42 Reactions
610 Replies
15K Views
7 Reactions
74 Replies
1K Views
Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM. Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya. HR 666 njoo let us share the...
24 Reactions
2K Replies
102K Views
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae. Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea. Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka. Natangaza rasmi...
33 Reactions
99 Replies
2K Views
Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni. ANGALIZO Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika...
1 Reactions
1 Replies
144 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…