JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mkuu tumekaa kinyonge sana, hii habari ya Msigwa haina mibaraka yoyote kwa vijana wenye kiu ya kuona siku moja CDM inatawata Tanzania. Tunaomba tamko lako, kuna siku ulituaminisha kuwa Msigwa...
3 Reactions
4 Replies
195 Views
Za siku wakuu. Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke...
9 Reactions
42 Replies
945 Views
🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia...
5 Reactions
28 Replies
534 Views
Naam. Kiingilio 500,000,000 tu. Watu unaokaa nao, utafanana nao
7 Reactions
83 Replies
2K Views
We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
9 Reactions
53 Replies
666 Views
Weekend iliyoisha mida ya saa tatu usiku napigiwa simu "oya njoo umchukue rafiki yako huku yupo chakali!" nikang'oka fasta mi nilikuwa sijashitua siku hiyo, kufika namkuta jamaa yupo nzwii haswa...
15 Reactions
26 Replies
699 Views
Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito?
4 Reactions
5 Replies
300 Views
Mirinda nyeusi inaniita..... kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋...
54 Reactions
289 Replies
5K Views
Hii hoja naomba isichanganywe na hoja ingine yoyote na wala haihitaji mjadala mreeeefu wakuu. Ima faima mkuu kisandu aka Don Nalimison aka ex wa Malia Obama huko aliko atambue anamisiwa huku jF...
6 Reactions
27 Replies
514 Views
Huyu mwanafamilia wa Jf To yeye ameadimika yupo wapi?
14 Reactions
96 Replies
1K Views
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji...
13 Reactions
62 Replies
3K Views
Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe? NB: kazi (Halali) kipimo cha utu...
12 Reactions
179 Replies
21K Views
Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
1 Reactions
4 Replies
223 Views
In fact wanajeshi sio wanafiki Wala wanako kama police hatembei na watu wanafiki kama politician the guy he is so fucking smart Nasubiria siku akija uapisho wa samia na vijana wake walio full armed
1 Reactions
0 Replies
137 Views
Hebu tusaidie mabingwa hapo hiyo ksh 10 imetoka wapi?
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6. Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
18 Reactions
171 Replies
6K Views
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje.. Hii marafiki, juu hapo...
36 Reactions
408 Replies
5K Views
Nimeona wachina wengi sana samaki samaki kuna ishu gani inaendelea?
1 Reactions
5 Replies
225 Views
Wakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia. Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village. Pia Kuna Malaika...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura. Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa...
34 Reactions
268 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…