Wakuu natumaini mu wazima wa afya,....
Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale...
Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu.
Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi...
Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na...
Habari za kutwa wanajukwaa?,
Kwenye maisha kila mtu ana malengo yake aliyojiwekea kutokana na kile ambacho anatamani kutimiza maishani lakini kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha...
A DRUNK Turkish man spent hours helping a search party look for a missing person before realizing he was the missing person.
Beyhan Mutlu, 50 yrs, from the north-western province of Bursa, had...
Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo...
Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator...
Mimi naanza..
Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
Guys, i hope mko poa sana,
Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu,
Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town...
Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube.
Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni...
Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨
👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho...
Ukiona
1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex.
2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga
3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora?
4.Mdada kavaaa nguo...
Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea...
Wadau kama week mbili hivi nipo tu home.sijatoka hata nje tu ya nyumba ninayoishi.ambacho huwa nafanya ni kuziwasha tu gari after five days engine iungurume hata masaa matatu then nazima.
Sitoki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.