Habari zenyu wapendwa,
Nina kiushauri kidogo kwenu wanaume au wababa. Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia...
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo...
Habari zenyu!
Niende straight kwenye mada kuna baadhi ya watu sijui wana matatizo gani yaani unakuta watu wamepishana kidogo wanaanza kusemeana maneno machafu kuhusu wazazi smdh! Haijawahi...
Habari, natamani kupata marafiki wa kubadilishana nao mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya maisha . Umri wowote na jinsia yoyote Kama uko interested karibu.
Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa...
1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Pacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga!
Kiungo mshambuliiaji wa Young Africans raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa Young Africans jana jioni kuondoka kwenda Gym kufanya mazoezi ya viungo ili...
Wadau hamjamboni nyote?
Watani mnahusika
Lete utani wenye kuudhi na kukera nami nitakujibu
Naanza mimi ninyi Waha kwenye treni ya sgr haiwafai endeleeni kutumia ya mkoloni
1. Wahaya.
Wapo vizur kichwani yaan shule inapanda.
Wana mvuto, Papuch zao laini
Hawanyimi ukienda vizuri
Wanaweza kutoa papch kwa miadi ya pesa.
Are mostly black beaty na maumbo mazuri
Selfish...
Habari....👋
Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi...
Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo
Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi...
Na kalaga baho
Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa...
Wadau
Hiki kilikuwa ni moja ya vipindi maarufu vya RTD hsawa kwa watoto hasa kwa watoto wa primary enzi hizo.
Watanzagaji wake nadhani alikuwa ni Debora Mwenda.
Kuna zile hadithi zilikuwa...
Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY
Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi
Mimi nimemjua Jana tu
Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni.
Napenda kufurahi Mimi
Kenzy nitakucheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.