🎇🎆🎇🎆 Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua...
Natafakari tu hapo
Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa?
Baada ya kulipa ada?
Siku ya kuzaliwa CCM?
Siku ya wajinga (1/4/2025)
May Mosi?
Embu wajuzi...
Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita.
Nimeshangaa sana.
Halafu mwenye hana...
Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani...
Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado...
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu.Natumaini mmeuanza mwaka salama kwa baraka zake MUNGU mwenyezi.
Nimeona sio mbaya niki share baadhinya nyimbo katika PLAYLIST yangu ya kila siku.
Unaweza kuokota...
Me naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena
2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala
3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi
4...
Jabari zenu wanaJF wenzangu,
Ombi langu kwa mwanaJF mwenzetu hapa jukwaani ndugu Erythrocyte . Mkuu mbona umekuwa kimya sana tofauti na siku za nyuma, tatizo ni nini?
Hebu tuambie kamanda kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.