Anasema bado ajira ni tatizo mtaani licha ya matangazo mengi ya nafasi za kazi.
Bado mashoga wanapigania haki zao kama haki zingine.
Bado watu wananunua upendo, toa pesa upate penzi.
Bado...
Wakuu,
Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Ukibisha utakula spana tu😹😹.
Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine...
Zikiwa zimebaki dakika chache kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025.
Em tumbie mdau wa Jf 2025 unaupokea ukiwa wapi?
Kwa upande wangu huu mwaka nitaupokea nikiwa kwenye basi kutokea Musoma...
Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji
V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale...
Merry Christmas and happy new year,
Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu...
Wasalaam..
Christmas ni kesho tu hapo, kila mtu anachinja chinja na kuandaa madikodiko plus kupanga viwanja vya kutanua.
Huu ni uzi maalum kwa kupeana zawadi na mialiko, alika memba mwenzio...
Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho...
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi...
Nina list ndefu.
Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.
2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE...
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...
Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..
Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi...
Wanasemaga kambi popote
Kuna watu hawawezi kuishi hata siku mbili tu maeneo yaliyopinda, wanaogopa wahuni na vibaka, sijui panya road
Nishawahi kuishi Dar nikiwa na familia yangu huko Mbagala na...
nimekunywa pombe Jana usiku hadi muda huu. nimelewa
can some one help??
I have tried drinking alot of water. I took soup in the morning. I still feel drunk.
Wishing you a birthday as perfect as you are for me.
Your day is as special as you are! May your birthday be as unforgettable as you are every day.
Here's to another year of good health and...
Ni bia pendwa kwa sasa. Out of nowhere yule mpinzani mkuu anapotea .
Ingia pub yeyote... Whatever bar Kilimanharo trends...
Thread!
What's ur feeling!??
Najaribu kupita mtaa kwa mtaa, sioni zile pukurushani za mwezi wa kumi na mbili, zile shamra shamra za maandalizi ya sikukuu, nyimbo hazipigwi, sijui tatizo ni nini?
Ninachoona tu, ni wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.