Jambo Jambo?
Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana.
Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa...
Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia;
1. Kizimkazi Festival,
2. Tulia Trust Festival,
3. Arusha Land rover Festival,
4. Majimaji Festival,
5. Wasafi Festival,
6...
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya
Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa...
Natumai mu wazima.
Nakumbuka way back nikiwa kwenye harakat zangu...
Kuna baharia aliniita na kuniuliza ishu Fulani, nilmjibu kavu akanambia "chora".
Nikawa nashangaa tu kumbe maana yake ilkuwa...
Wakuu Merry Christmas kwenu
Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅
Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna...
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini. Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃. Shot matata nikaluka home. Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali. My mistake siku nunua Maji as I...
Bata batani, wana wa stress free zone
Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada...
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap
Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24
Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
Nimependa sana some strategies zinazotumiwa na wahuni kuishi. Asee wahuni wana balaa sana, some tips natohoa kwao ili nipate kitu perfect mwakani. Mbinu kubwa ya utajiri ni ubahili, minimize...
Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine.
Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini...
NI UTANI TU 😂😂
Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma,
Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017
Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni...
Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara.
Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.