Wakazi wa MBAGALA wanagombania usafiri wa basi kama kawaida yao, bibi1 alipanda bila shida akapata SITI alianza kulia sana,konda akamuuliza
"bibi unalia nini sasa" Bibi akajibu" miaka yote 35...
vyakula hivi vifuatavyo vinafanana sana na U-UME...nasikia vinasaidia sana pia katika maswala ya NGUVU za KIUME...JE unafahamu hivyo?au hata zaidi ya hapo!
Kuna mambo 9 ninayajua
kukuhusu wewe...
1.Unaisoma hii joke yangu.
2.Huwezi kugusa meno
yako yote kwa ulimi wako.
4.Umejaribu kuyagusa.
5.Unacheka/umetabasam.
6.Hujagundua kama
nimeiruka namba 3...
Hivi itakuaje siku chama cha upizani ikitinga ikulu, mfano, Dr Slaa ndo Rais wa Tz' sherehe zitakuaje mtaani! Nadhani walevi watalewa wiki3 bila kwenda jobb, kwa sisi wacha MUNGU 2tafunga wiki...
Kukopa wakati huna uwezo wa kulipa.... Uliwaza nnini???
Kuvaa kata k aka mlegezo wakati chupi chafu..... Uliwaza nini???
Kula kavu kavu wakati unajua anaumwa ngoma.... Uliwaza nini???
Kupanda...
nimeshuhudia leo katika uwanja wa PR School Ngaresero CCM wakitukana na kusema Chadema wanamimba,Dr Slaa ana mimba na watajifungua tarehe 1 April...
Aliyesikia mengine tafadhari tuwajulishe...
Cku 1 Papa Benedict 16 alikua anataka kwenda kufanya shopping. Akamchukua dereva wake lakini akamwambia niache niendeshe mm! Kufika njiani trafic akawacmamisha kuangalia vzr ndani ya gari yule...
LifE Is Like JF
Sign Up - To Be A Part
Log In - To Have It
Post - To Express
... Share - To Be With
Like - To FEEL Being Impress
Comment - To Show Up
Remove - If You FEEL Bored
Accept - You Got...
An Intelligent Wife
Who Makes Sure She Spends
So Much
That
Her Husband
Can't Afford Another
Women"
Ill Hubby
Husband was seriously ill.Doctor to wife: Give him healthy breakfast, be pleasant...
katika Gari kuna kifaa cha zimamoto...hiki kifaa ni muhimu kuwa nacho kwa ajiri ya usalama wa gari yako...hasa katika majanga ya moto...na pia katika majengo mengi hiki kifaa kiko....
ila kwa...
jamani hivi mimi tu wananiboa au hata wewe? siku za katikati ya wiki ukiangalia itv tangu asubuhi kila baada ya lisaa limoja wanatangaza habari za saa wanazirudiarudia na ikifika usiku tena...
--chagua kuishi bila madeni
--chagua kupunguza mipombe na ngono zembe
--chagua kutumia kondomu, jasti in kesi
--chagua kuishi kwa matumaini kama una ngoma tayari
--chagua kutokufumaniwa, jasti in...
"Mwanamme atakiwi kua na tashtiti au we mwenzao?,kama una njaa unaitaji upakuliwe!!"
Basata mpo wapi? Nimesikia sauti ya AT,ina maneno hilo hilo usinifuatilie!
Katika harakati za kukuza teknohama worldwide, wajapan wameunda mashine ya kukamata wezi na kuipeleka nchi zifuatazo kwa majaribio: urusi, baada ya nusu saa ikakamata wezi 40, jamaica baada ya...
The Japanese eat very little fat and suffer fewer heart attacks than the
British or Americans.
On the other hand, the French eat a lot of fat and also suffer fewer
heart attacks than the British...
A little girl spoke to her teacher about whales.
The teacher said it was physically impossible for a whale to swallow a human because even though it is a very large mammal, its throat is very...
Masela wawili wakiwa chini ya mwembe walivuta bangi mpaka ikawaingia kabisa baada ya muda si wakasikia njaa wakashauriana watungue maembe juu ya mti,maongezi yao yalikuwa hivi;
Msela 1;msela...
A Man "lived alone in the countryside with only apet dog for company. One day, the dog died, and the Man went to the parish pastor and said, 'Pastor, my dog is dead. Could there be a mass for the...
Chita Damaseni jamaa anapenda kunya
ovyo! ailkwenda
Sumbawanga akenda
kunya kwenye shamba la
babu flani ila hakujua ujuzi
wa yule mzee, alipoanza tu kunya akatokewa na
nyoka wa ajbu bonge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.