Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi help me plz...
Kweli mmeshindikana..................!!! mi nimeamua kuwacheki tu....!!! lakini mjue bado naendeleza kampeni zangu za kuin'goa hii kitu. Kuna watu humu ndio alaaah!!!.
2pe kicheko cha kauzu zaidi ya daga(KD) mtaani..
naanza
.KD: halo muhudumu naomba pilau tafadhali
MUHUDUMU:ya sh ngap?
.KD: kuna ya sh ngap na sh ngap?
.MUHUDUMU: ya 3000 una nyama ya...
Hbr za mwisho wa wiki wanjf wenzangu, poleni na majukumu ya hapa na pale mi nishapoa sasa naelekea kitalani nikapumzike... NI HIVI NAPENDA KUWASHUKURU WANA JF WOTE WALIOSHIRIKI PA1 NAMI JANA KWA...
Shamba boy akiwa amepiga pamba zake mpya baada ya kazi alikuwa akitembea mtaani, akakutana na mtoto wa geti kali mrembo kwelikweli. Shamba boy akaanza kumtongoza. Ktk kumwaga sera akajisifia...
Habari za wikendi waungwana ?
Ebu naombeni your very 'sincere opinions' ...
Hivi huwa unajisikiaje kwa zile rangi nne (4) unazokutana nazo pale juu kabisa kwenye JF HOME Screen pindi...
Kwa anaetaka kunitoa ani pm niko so lonely
budget yangu ni ,
1300000 tu sina makuu mie
aje na cash
nataka kwenda bagamoyo kucheza na boat
pia tulale uko ila kila mtu na chumba chake awe tayari...
Watoto wawili wa umri wa kati walikua wameketi nje kwenye klinik na mmoja wapo akawa analia.
Mtt wa 2: Unalia nini?
Mtt wa 1: Nimekuja kupima damu
Mtt wa 2: Kwa hiyo unaogopa?
Mtt wa 1...
Mtoto ( wa kiume) wa miaka minne alikuwa amekaa sebuleni na wazazi wake ambao walikuwa wametembelewa na rafiki zao ambao ni wanandoa (mke na mume). Wakati wa maongezi baba wa mtoto akawataarifu...
Kuna chaga mmoja alikuwa anapita mitaa ya shauri moyo kwa bahati mbaya alipofika mbele ya geti la TBL akadondoka.. wasamaria wema wakamwinua wakasema apewe maji mchaga akajibu ningetaka maji si...
Mchamungu: bwana, hivi miaka milioni mia moja moja ni sawa na muda gani kwako? Malaika mkuu: Ni kama dakika moja Mchamungu:na shilingi milioni mia moja za kitanzania ni kama shilingi ngapi kwako...
Mtoto: Baba niletee glasi ya maji
Baba: We mtoto una kichaa nini? kachukue mwenyewe!
Mtoto: Bwana niletee!
Baba: Usinisumbue, nitakuja kukupiga makofi!
Mtoto: Basi ukija...
Hello wanaJF,
Nilipojiunga hapa JF Desemba 2011 nilihiyaji kufahamu jinsi ya kuchangia threads mbalimbali. Nilitazama jinsi watu wanavyochangia na uchangiaji wa Kongosho ulinivutia sana- hachangii...
Teja mmoja baada ya kuvuta misokoto tisa ya bangi alipitiwa na usingizi kwenye kitanda cha jamaa yake, akiwa kwenye usingizi wa pono mara akaanza kuota ndoto anazaa/anajifungua tena kwa uchungu...
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako...
Baada ya ugomvi wa muda mrefu, mke alianza kukusanya nguo na vitu vyake vingine tayari kwa kuondoka, mume akamuuliza mbona wakusanya vitu unaenda wapi? Mke, akajibu kwa ufupi, 'naenda kwa mama!'...
Katika Daladala Kitoto cha Nursery kinaimba!
"Baba angekua Jogoo halafu Mama ni Kuku!
Mimi ningekua Kifaranga!
Watu wote Kimya!
Kikaendelea - Baba angekua Beberu halafu Mama ni Mbuzi!
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.