i woman went to see a gynecologist. While laying on table she hear him said "oh my god, this is the biggest organ i have ever seen". The woman took deep breath and keep silent. After few second...
Vichaa wawili walilazwa, sasa pale wodini wakajadili jinsi ya kutoroka pale wodini. Wakaafikiana kwamba wakifika getini wampige mlinzi, mlinzi akikimbia wao watoke nje ya geti kisha watoroke...
Kwa heshima na taadhima kubwa
sisi washenga :-
Judgement
Husninyo (MR & MRS).
ErickB52
Amyner (MR & MRS).
Kwa pamoja tunaichukua fursa ya Thrade hii, kuwasilisha Propasal ya kijana ndugu...
Nadhani nina indicator zote kuwa mi mgeni huku,
hata hivyo nina kauzoefu ila katika safari yangu nimeona mengi machache ni kuhusu baadhi tu ya members;
PAKA JIMMY -sijui ndugu yake pakashume...
Moto mkali ulioanza usiku huu kileleni mwa Mlima Kilimanjaro, unaendelea kuteketeza barafu ndogo iliyobakia kileleni hapo.
Mabonge ya barafu yameshuhudiwa na wananchi walio chino ya lima huo...
A boat docked in a tiny Mexican village. An American tourist complimented the Mexican fisherman on the quality of his fish and asked how long it took him to catch them. "Not very long," answered...
Wakuu Wenzangu leo hii tarehe 1/04/2012 Asubuhi wakati ninakwenda kazini nimeokota njiani begi lina pesa taslim Dolar laki moja, nawauliza wenzangu je kuna mtu aliyepotelewa na hizo pesa ili...
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya pumzi, utumbo utakuja...
Binti mmoja alighadhibika baada ya mama yake kumkemea juu ya tabia zake mbaya.
Binti yule akaamua kujiua.
Baada ya muda babaye alirudi.
Mazungumzo yakawa ifuatavyo:
baba:Mwanangu yuko wapi...
Cheki hii hapa kitu robot
Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa
ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja
usiku mme akarudi kutoka...
A christian guy asked a muslim guy: 'Why do your females cover up their body and hair?'The muslim guy smiled and took out 2 sweets, he opened one and kept the other one wrapped. He threw them both...
Due to the current financial situation caused by the slowdown of economy, Management has decided to implement a scheme to put workers of 40 years of age and above on early retirement. This scheme...
Mshikaji mmoja alikuwa na dingi wake, akamwona demu wake anakuja, bahati mbaya dingi alikuwa mkali sana na mazungumzo yao yalikuwa hivi...
MSHIKAJ: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english...
Siku moja baada ya kupata chakula cha mchana "baba Chanja na mama Chanja waliamua kubadilishana mawazo kama ifuatavyo.
Baba Chanja:hivi mama Chanja mimi nikifa leo au kesho jee utaolewa na...
ingekuwaje mtu angekula kutokana na mazingira ya kazi yake kama vingekuwa vinalika.
KATIKA UJENZI.
Menu
.supu ya tofali
.saruji ya kukaanga
.kokoto za ku rosti
.sururu ya kuchoma
.mseto...
check conversation ya mwalimu na mwanafunzi alafu ungekua wewe ndo mwalimu.
Mwalimu:kati ya akili na hela unachagua nini,
mwanafunzi:mimi nachagua hela
mwalimu: huna akili kweli mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.