JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hey U Know Which is the best day to propose a girl? April 1 U Know Why?? If she accept its your luck otherwise just tell April Foooooll
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1.Ujasiri si kuzuia moyo usidunde,ni kumuonesha adui yako huogopi. 2. Ujasiri ni kukemea maovu ya serikali huku ukitumia ID halisi(kama mimi). 3. Ujasiri ni kujitahidi kuongea kwa confidence...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda hamii forums isingekuwepo mnisameheee Napenda watu wote wangekuwa wchina mnisameheeeeeee ............…….… mnisameheeeeeeee
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Subirini kidogo naongea na simu......:cell::crazy:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kilaza aliamua kutokwenda shule lakini ili kuepuka na adhabu kali ikabidi atumie ujanja. Kilaza aliamua kupiga simu kwa mwalimu mkuu na kujifanya yeye ni Baba Kilaza hivyo alikuwa anamwombea...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri, matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu. Matibabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mmoja kanikosakosa eti NMB bank ya kwetu (nakoganga) imeungua.. Mi nimemkosa "mjinga wa leo",nilimwambia awashe TV aangalie kwani Rais Obama kafariki,akastuka! Akacheka sana..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Watoto wa zamani wakikojoa kitandani, walikuwa wanazungushwa mitaani na kuimbiwa hii nyimbo..... Hii nyimbo ina maana gani??? Watoto wa siku hizi kwa nini hawafanyiwi hii kitu??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inadaiwa ni mbinu mpya ya chama chetu ya kuvuruga uchaguzi baada ya kuona hali ni ngumu upande wetu .
0 Reactions
14 Replies
2K Views
I miss u, where r thou baby...it has been long since i heard frm u,I miss so many things that are part of u. Your warm re-assumning smile, pretty talk and amazing stature. Michango serious na...
1 Reactions
164 Replies
9K Views
Huu ndo mfano wa public toilet inayotarajiwa kutumika soon!...sijui itaanzia wapi!...nomaaa!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari mabwana wakubwa na wadogo,naamini wote wazima wa afya, mimi mzima huku nilipo hofu kwenu mulio mbali nami. Lengo la barua/ujumbe huu ni kutaka kuwafahamisha kuhusu "infinite ban"!! Sijui...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, Hizi luku za KADI nazi angliya zipo kwnye shortage... Where can we find ? Nimejaribu BP ya UPANGA, Na pale karibu na posta kwenye petroli...lakini hawana :( plz help !
0 Reactions
2 Replies
813 Views
1.Chukua namba ya kiatu chako....mfano yangu ni 41. 2.Izidishe mara 5 3.jumlisha 50. 4.zidisha mara 20 5.jumlisha 1012 6.halafu toa mwaka ulipozaliwa Jibu utakayopata namba za mwanzo ni...
5 Reactions
83 Replies
7K Views
Leo nilipokuwa kanisani nilimwona mtu akivita sigara kanisani lo! nilishtuka nusu nimwage bia yangu.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za mchana. Tukipokua wadogo hatukuruhusiwa kutumia mafuta ya taa. Siku moja kaka yangu aliwasha moto na mafuta ya taa bahati mbaya yakamwagika. Mama alipouliza nani ametumia mafuta...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanafunzi watano wa chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Wale wanafunzi walikunywa pombe mpaka saakumi za usiku,asubuhi ya siku ya mtihani kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KISSING each day will keep the DENTIST away...KISSING encourages saliva to wash foods from the teeth and lowers the level of the acid that causes decay...preventing plaque build-up... haya kazi...
0 Reactions
65 Replies
3K Views
enzi hizo kulikuwa na matukio ya kutisha katika mikoa mbalimbali ya nchi yetu mfano Unyonyaji damu ambapo ilifika kipindi mtu huwezi kutembea peke yako usiku, vilevile Uchunaji ngozi za binadamu...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom