Mdada anasema eti ananipenda lakini hana uhakika kama 2tadumu katika mahusiano et kisa ye yupo Ccm na mimi nipo Chadema.
Kauli hyo aliitoa juzi baada ya kuniona nimejikita zaidi katika...
Ni story ndef lkn naifupisha. Mimi ni mpoleeee original baada ya kuhisi siwezi himili vishindo vya members wanaonibeza nikabadilisha pas-wed yang nikitumia wxyzwxw yaani sikumbuki hata nilizipanga...
Jamani kama unajua ulishawahi kutembea na mume/mke wa mtu we sema tu. Hata kama ukataja/usipotaja na jina lako halisi sie tunachokuomba uombe msamaha kwa mhusika, kwani ni moja ya toba...
jamaa mmoja alikwenda hotelini akaagiza juisi ya apple lakini alipo ionja ikawa na ladha ya sabuni,akauliza "mbona hii juic inladha ya sabuni? mhudumu akamjibu 'samahani kaka hiyo itakuwa juic ya...
Huyu Rafiki kila kitu anataka kuchakachua! Mkiwa kwenye kikao anachakachua main point, kwenye mazungumzo anachakachua hadi unapoteza uelekeo wa mazungumzo...Kwenye Siredi sasa! yani thread ina...
Jamani mi ndo natoka kwenye hii kompyuta ambayo kampuni imenipa ili nifanyie kazi, lakini mimi sometimes naitumia kuingilia Jf na kuanza kuwaponda mafisadi wezi wa fedha za wananchi. Asanteni kwa...
Sijui kwanini hii tamthilia haiishi manake tangu wakati ule naangalia tv kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka leo namiliki tv yangu bado imo. Wadau hebu mnijuze hapo imekaa je.
Leo nimekurupuka kwa mbwembwe toka home nawahi job, napanda daladala huyoo. Imefika wakati wa kumpa kaisari yaliyo yake kaisari He! sina vitambulisho wala hela. Yani mifuko kama ya suruali...
Habari,
Leo kuna babu amekuja TBC kwenye jambo Tanzania kulalamikia swala la upatikanaji wa maji huko Tandahimba. Anasema pande zile mkulima haogi siku hata 4 zinapita na maji ya kunywa...
Jina: Jacob Joachim
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Moshi
Jimbo: Vunjo
Chama: Chadema
Umri: 22
Napenda usawa
Mimi ni rasilimali ya taifa na hivyo naamini kwamba matumizi sahihi ya rasilimali...
Smiling Saint
JF Senior Expert Member
Send Private Message
User Notes (0)
Find latest posts
Find latest started threads
Likes Received (82)
Likes Given (100)
like ya 101, hebu...
Mmeamkaje?(kwa wale mliolala jana)
leo nimerudi enzi zangu za form one...tulipokua tunalazimishwa kutoa speech asubuhi...mbele ya halaiki...wanafunzi na walimu.
asikuambie mtu shughuli ilikua...
Hii style mpya ya kung'oa vioo vya gari kwenye foleni kweli limekua tatizo sasa hapa mjini dsm. Hivi wanashawishi wenye mali zao kuwatwanga risasi za viuno labda watashika adabu. Tunatiana hasara...
Eti wajameni kwanyi neno PEDESHEE/PAPAA lina maana ganyi maana kitaani madem na wanawake(wake za watu) hupendanga kuniitanga Pedeshee Mkarewenyu ila nashindwanga kuwaelewanga wana maana ganyi.
Mama mmoja akiwa na familia yake akidai kabomokewa nyumba yake kwa upepo mkali, Amezua tafarani ndani ya ofisi za airtel baada ya kulazimishwa kutoka na mlinzi wa ofisi hizo. Mama huyo akirusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.