JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HAbari wapendwa? Mimi kwa kweli kila nikisikia yafuatayo nitakumbuka tu Arumeru mashariki 1. Lusinde 2. Nassari 3. Sioi 4. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu 5...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi hawa wanahabari wa ITV ni huwa wanajifanyisha au ni ndivyo walivyo? Hebu muoneni huyu Sam Mahela....anzia kwenye dakika ya 3:39.....
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Jamani kumradhi naombeni mnifahamishe huyu jamaa yuko pande zipi? Aliwahi kuendesha kipindi cha watoto clouds fm cha kila j1 wakiwa na Masoud Kipanya.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
dent m1 aliambiwa aandke alama za barabarni iweke kwenye bararbara iptayo shulen kwao akaandika “tafadhari endesha kwa uangalfu na ucwangonge wanafunzi subiri walimu ”
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
...kauli hii ilitolewa na mnazi wa ccm ambae (kama Rejao et al) aliedai CHADEMA hawawezi kushinda Arumeru. Baada ya matokeo alisema hivi:"Nilijua ccm itashindwa, ila jiulize swali hili, kama una...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Kuna Kibwagizo huku mtaani mida hii kinasema "Alisema Haoi sasa kaolewa..x2 ...Alisema Haoi Sasa Kaolewa..Alisema Haoi Sasa Kaolewa.....!! Peopleeeeeeeeeeeeesssssssss!!!!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Binti alikuwa anaongea na mama yake: Binti: Mama, nakuhakikishia siwezi kupata mimba katika uanafunzi wangu, mpaka nitakapoolewa. Mama: Loo mwanangu, utakuwa umenipa heshima kubwa sana mimi mama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana JF niko Arusha nakuja Dar for Easter na family yangu ya watoto wawili ,dada na baba yao. Natafuta apartment nzuri budget iwe $ 100 or less per night. 2 Bedrooms,kitchen e.t.c. Please...
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Nina furaha sana siku ya leo na sababu kubwa ni kuwa leo ni birthday yangu.Sikujua kwamba unapokuwa umetimiza miaka 25 ndo JF inakutambua kama Senior member.Namwomba Mungu anipe kibali cha kuishi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Alikuwa akisafiri kwenye barabara kuu akiwa juu ya pikipiki yake. Alikuwa akiendesha kwa wastani wa kilimeta 65 kwa saa. Jambo lenyewe lilitokea ghafla sana. Aligeuka kutazama pembeni mwa barabara...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa mmoja anaishi na demu wake sa mara nyingi huwa akitoka analudi usiku, siku inayofuata jamaa katoka kama kawaida akapitia maskani kwao,Bas yule demu wake akaingiza mwanaume ndani, Imefika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5... Lakini kila...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Chizi mmoja alipanda juu ya mti wa mwembe.Alijining'iniza mtini kwa kushikilia tawi mojawapo kwa muda wa nusu saa.Mara ghafla akajiachia na kuanguka chini na kuumia vibaya sana.Daktari wa vichaa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Refer to the heading above, I would like to wrn you that if you try to talk to me you will surely fall in love with me and when you fall i will definitely break your heart into...
0 Reactions
69 Replies
4K Views
hivi jamani inakuwaje pale wanamuziki wetu wanapodai eti wameibiwa mistari au mashairi yao.., kwa mfano juzi kati kulikuwa na bifu kati ya rich mavoko na dogo mmoja hivi kuhusiana na wimbo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama ilivo ada na ID zangu tatu (G Mpoleee + Mpoleeee niliyomeza kipisi chenye pw) nimekuja kuwasalm wan jf. Shule ngumu jamani ila nimepata livu ya easta. Taratibu mtoto mpole na mrembo mm...
4 Reactions
89 Replies
5K Views
Jamani kwa takribani wiki moja kama sio mbili hili jukwaa maarufu sana hapa JF silioni. Je limeondolewa kabisa au linafanyiwa marekebisho? Naombeni update zenu waku.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama umelipenda ni pm faster.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The ORGASM of a PIG lasts 30 minutes!... ....najua mnatamani ingekua ivo kwenu!
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom