Kerala,Gods Own Country, is blessed with immense beauty andexoticism. It is very famous all over the world for its touristplaces that offer a variety of attractions for all age groups...
Nawapenda sana dada zangu wa kibongo, lakini sijui kwanini wengi wengu mnapenda sana kunichuna tu, au kwakua mimi ninaroho nzuri.
Sasa naomba mmoja wenu aone umuhimu wa mimi kupata mke jamani sio...
Wana jf pametokea ajari ya gar ya Police na Pick up Kilwa Road maeneo ya Bandalini pale BP,kwa wale wana jf waishio Mbagala epukeni njia hiyo maana kuna folen balaa iliyotokana na ubishi wa nan...
wadau, mimi naomba au napenda nielimishwe :help: kuhusu hii tabia ya watu (hasa wanaume) kutemea mate mkojo alioukojoa yeye mwenyewe (hasa anapokojoa kandoni mwa-barabara/njia).
je, kuna...
Nawasalimu wote! Imeamriwa usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Nawakumbusha wale wenzangu na mimi mnaowahi kwa "mangi" kupata supu asubuh asubuh. Pia tukumbuke kwenda kwenye ibada. Asanteni, maandalio...
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni...
Mkuu wa kikosi alikua anakagua kikosi chake jeshini. wanajesh wote walipanga mstar mbele na nyuma. afande john alikua mbele na afande robert alikua nyuma hawa huwa wanataniana. sasa afande robert...
Juzi baada ya saa za kazi, nikiwa naondoka ofisini nilikuta akina dada wa hapa ofisini getini wakinunua machungwa. Nikamuomba dada mmoja kwa kumwambia naomba "Tukatiane" chungwa aliloshika...
A couple of chama cha matusi / CCM candidates for county office happened to be sitting next to each other in the local diner...
One turned to the other and said, "You know why I'm going to win...
Hello,
Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;
Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"
Kama unapata Negative ujue wewe hali tete...
Ila CCM wamefilisika ki sera na mtizamo. Yaani ni kama za mwizi 40! Yaani wamechakachua hadi uchaguzi wa east africa! Nadhani inabidi akina Benjamin wakatafute uzoefu wa Arap Moi wa Kenya jinsi ya...
A first- std teacher, Ms Smith (Age 28) was having trouble with one of
her students.
The teacher asked, "Boy, what is your problem?"
Boy Answered, "I'm too smart for the first- std. My sister...
Jamani mm ni msomali by nature, nilikua nje ya nchi kwa masomo so nimerudi kama about three months ago, napiga kazi kwenye kampuni mmoja ya simu hapa Dar (Tigo), well nilikua sijawahi kuwa na...
nilikua nipo stand na msubiri rafiki yangu gafla akaja mlevi wa unga (Teja) na mtu mwengine kufika nilipokaa wakaanza kuulizana bei utanipa shilingi ngapi? jamaa akamjibu lakin yule teja...
Mchina moja alienda ohio kutafuta kahaba wa kulala nae,ila mwenye kuiweza shughuli haswaa atampa donge nono,,,,,,,,
Basi mdada moja akajitokeza nakukubali kwenda na mchina huyo.kufika home kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.