Leo ni KARUME DAY,ila naona siku ya leo itabadilika jina na kuwa KANUMBA DAY hii ni kwasababu ya kifo cha msanii mkubwa wa filamu S.Kanumba ...R.I.P S.Kanumba
Aisee nimeshtuka sana kuambiwa kuwa Lulu kumbe ni mchaga,tena wa Machame..
Kitu ambacho nazidi kujiuliza aya matukio ya wanawake wa kichaga kusababisha vifo vya wapenzi wao inakuwaje...
yatakayofanya nimkumbuke kanumba the great ni
1. Alipoenda kumtembelea mzee kipara wakati mgonjwa na kumpa msaada wa laki 1 huku akiwa ameambatana na lundo la waandishi wa habari kama hali...
Msipanic kwani uchaguz wa arusha ni sehemu ya mazoezi ya kampen za 2015 co lazma kampen kila baada ya miaka mi5 ushauri wangu ni kwamba kama lema aliweza angusha tembo kwa bua xaxa ni zamu ya...
Happy easter wakuu wa jukwaa hili.
Hivi wakuu neno marashi na neno manukato yana maana moja?
Mim nimekua nadhani kuwa maneno hayo yanamaanisha perfume kwa kiingereza lakini sina uhakika kama niko...
The newlyweds are in their honeymoon room and the groom decides to let the bride know where she stands right from the start of the marriage. He proceeds to take...
Kuna watu wamekuwa wakiniambia eti nikagombee ubunge kwa tiketi ya cdm kule arusha eti kwa vile jina la mbunge aliyeenguliwa GODBLESS na hili la kwangu GODLESS yanalandana. Mimi nasema siwezi...
Dah, nimechaka kweli leo japo tuna majonzi ya kuondokewa na Kanumba...Katika kipindi cha mkasi ambacho kimerushwa maalumu coz ilikuwa wakati Lulu anahojiwa...Huwa kwa chini pembeni kuna Methari za...
yaani hapa nimenuna kweli kwelì!
Baada ya kusaka usingizi muda mrefu ulipoanza kukolea jirani yangu amerudi!
Na usingizi wangu umekata!
Jirani huyu sijui amefunga spika za matangazo kwenye...
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira...
Waswahili walisema kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho na sasa uvumilivu wangu kwa hawa watu wanaojiita TANESCO umefika mwisho sio siri TANESCO nasema mmenichoshana mambo yenu ya ajabu...
Jamani nilikua nimesahau kama leo ni ijumaa kuu, nmeamkia supu ya ngo'mbe na chapati saa hizi natoka kula wali nyama ile nmemaliza naenda kunawa muhudumu ananambia ''ijumaa kuu njema'' apo ndo...
Siku moja baada ya kufanikiwa kulitwaa jimbo la Arumeru Mashariki, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa sasa yuko tayari kuolewa na Mbunge mteule Joshua...
Hii ni moja ya zawadi nyingi utapata,
matokeo ya kukubali Shabhan wamtaka,
Hakika kwangu vitu vyoote utapata,
mengi maneno yangu yasikutie shaka.
U mzuri, mcheshi na mpole,
mkarim, mkweli...
Baba John aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake,na hiyo yote ni baada ya mkewe kujifungua. Baba John akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto.,akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye manyonyo...
Jamaaa mmoja alikua katoka klabu kalewa chakari,na alipofika kwake alikua ameweka konyagi kwenye mifuko yake ya nyuma.Mara akawa ameshikilia funguo na kuanza kufungua mlango,akawa anahangaika sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.