JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
habari yenu wakuu. naomba kuuliza, hivi ile dawa ya tongozoro inafanya kazi?. Nasikia kama wewe ni domo zege kwa mademu ukiitumia tu unaanza kutema mistali na unaye mpenda anakubali hapohapo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna cha'P' mmoja aliokoka na kushuhudia kwamba kati ya dhambi zote kubwa alizofanya kulewa kupita kiasi ni moja wapo.Kumbe siku alizokuwa akizuga kuokoka alikuwa 'apeche aroro'. Siku ya siku...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Boflo trick would be: Put some yoghurt in a plastic cover Leave it open until the flies settle Wrap up the cover as quickly as possible! Anyone with a better tactic Wana Jf??
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Huyu si mwingine ni yule yule mkali wa safari ambaye bado safari 96 amfunike vasco da gama kwa kuwa ndiye anayeshikilia record ya kusafiri safari nying duniani kuliko kiumbe yeyote yule je...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
ni kweli na mpaka sasa kabibi kamewekwa mtu kati......hivi haya mambo ni kweli yapo????
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Embu chukua haya matatizo aliyoyapata mwenzetu hatujui kakusudia au ni bahati mbaya tu na ujitwikwe wewe.ungekua unajiskiaje right now?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari ya Easter monday? Kama mmeamka salama ni furaha kwangu, tujuzane tu namna tulivyosherehekea siku ya jana maana sikukuu huwa haziishi matukio ya kuacha midomo wazi
0 Reactions
57 Replies
3K Views
Vuvuzela comedy inaendelea clouds tv, tujitahidi kucheka kidogo km sio kutabasamu japo haichekeshi kabisa!
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Amini usiamini ndugu mtanzania haya yametokea leo tarehe 09 april 2012 ktk hospitali ya wilaya tandahimba, kuna ndugu yangu alimpeleka mwanae, kwa kudra zake manani alipata huduma, mwanae...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
...........ulinipa ahadi tukutane kwenu, nikitumaini nimewahi, nilichopata kwako ni matusi na dharau tele. Ungenieleza ukweli solemba kuliko kunidanganya, najuta kuitimiza ahadi ambayo si ya...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
kwanza kabisa namshukuru MUNGU kwa kutupa siku hi ya leo, tufurahi na tuishangilie. pili kwa ndugu, jamaa na marafiki zangu woote... heri ya PASAKA 3. kwa mpendwa wangu SMILE... Heri kwako 4...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Pasaka yangu kama inavyojeleza hapo juu jamani. Makuu sina kijana mie, chakula mwakiona na kinywaji ndi hicho hapo. Vyote 'Made in Tanzania', mpaka sahani na kijiko ninavyolia. Page ya JamiiForums...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, nimemaliza adhabu ( ban ) ya miezi miwili!. Ni furahaaaaa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
I find it really hard to have fun in this city without money..... I have a few ideas one can do...can you guys perhaps help me out here and share some things we can do here in Dar without...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Im looking for a partner for a regular swimming exercises in a swimming pool, even if u dont know how to swim, am ready to teach you and dont worry about entrance. Sitaki madume, ni kwa wadada...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!
0 Reactions
66 Replies
6K Views
1- Kula kucha 2-Smoking 3- Kukoroma 4-Kuchezea ndevu 5-Kuchezea mtarimbo 6-Uroho wa chakula 7-Kuangalia mattako ya wanawake barabarani 8-.......................................... Mimi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Embu jiulize hili swali wewe ukiwa kama mwana JF na mkristo; Kifo cha Yesu cha juzi na cha Kanumba kipi kimeugusa zaidi moyo wako? Halafu jipime, wewe ni wa Kristo au wa Kanumba?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Je ndugu zako na marafiki zako wanajua kuwa siku hizi umechanganyikiwa?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Muhusika wa Msiba wa KANUMBA ni Wasanii wenzake au Familia? Najiuliza sana hili swali pasipo kupata jibu lililotimia, kwani kila chombo cha Habari kinasema au kinataja Mwenyekiti wa Kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom