JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pls nisaidieni jirani ygu kaumwa na ng'e dawa ni nini
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Jamani TaiJike ni shemeji/wifi yenu. Naomba wale wenye nia chondechonde jamani.Msije mkanipeperushia tai wangu,nimetoa jasho kumpata.
3 Reactions
94 Replies
5K Views
..ukiona mwenzako ananyolewa,,,
0 Reactions
39 Replies
2K Views
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hayo aliyasema alipokwenda kuifariji familia ya kanumba.Hivi ni nani aliyetuchagulia huyu raisi,Raisi gani anasifia wanaume wenzie.:yell:
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Unajua walianza mahusiano ya kimapenzi kabla ya miaka 18!
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Women activists gathered at the Federation for Women Lawyers (FIDA) offices in Kampala on March 29 to condemn Emin Baro, a 53-year old Macedonian man who entered the country as a tourist but has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najiandaa ku-claim hii ngoma
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Bandugu na jamaa, nashindwa kuelewa kwa nini ukitoka kunjunji unatakiwa kuoga mwili mzima? Kwanini nioshe miguu, kwapa , mgongo na sehemu nyingine wakati wala havijui utamu wa tunda?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF Irene Uwoya alikuwa akizimia kila akizunduka mpaka kuzua maswali na mshangao kwa waombolezaji walio kuwa wakiomboleza ana kwa ana na wengine waliokuwa wakifuatilia kwenye runinga.Angalau...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
am a real gentalmen and real man/boy so am looking for a truly lover so any one plz contract me on ma email rmutaboyerwa@gmail.com or on my facebook account Robert mugisha
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Riddle! I am a seven lettered word. My 123 is a liquid, my 3456 is pain. And My 567 is a girl. Who am I?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salam kwenu wana JF Hebu naomba mniambie upi ni ujinga zaidi katika haya? 1.Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size 2.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha umwambie konda...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau hii mvua ya haja...i can't do nothing...(nimepatia?)...lol
0 Reactions
3 Replies
828 Views
  • Closed
jamani according to me,myself and I...the most boring people ni wahaya...yaani being around wahaya is sickening....story zao za kujisifia kila wakati zinaniboa...je ww watu wa kabila gani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
My queen Michelle is not around, my brain just can't stop going round, with the news of Kanumba spinning round, i just can't seem to land a round, Any hot n willing lady want some fun...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani hii sio masihara,nimekutana na mbibi mmoja jana jioni wakati natoka miangaikoni,baada ya kumsalimia tukaanza stori kwani wote tulikuwa tunaelekea njia moja. Katikati ya stori akaniauliza...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Tatizo la Arumeru wachofahamu ni kijani tu! Kila kitu wanachotumia ni kijani! Vijana yale majani wanayoyatafuna yayotoka kenya nayo ni kijani pia! So kesho CCM inashinda kwa kishindo!!!! Rejao...
2 Reactions
504 Replies
21K Views
Jamani kuna gesti moja mitaa ya huku Kigogo,inaitwa L**O*WO GUEST HOUSE,chondechonde,ukiingia na mke wa mtu lazima wakati wa tendo azimie,nasisitiza akiwa MKE WA MTU TU! Haijalishi kama ana tatizo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom