If people we love more they walk away from us, let them walk, we don't have to make them stay,
People leave us because they are not joined to us,
It doesn't mean that they are bad people...
TAHADHARI:
ukiingia chumbanin na mpenzi wako usilogwe ukasahau kuvaa HELMENT USsije ukagonga kichwa chini na kupoteza maisha kama THE GREAT KANUMBA remember bora kinga kuliko kTIBA
Mwalim mgeni kwenye shule ya msingi Bwiti maramba mkoani tanga:
mwalimu:leo tunajifunza mazao ya kibiashara hapa nchini.
Wanafunzi:sawa mwaliimu
mwalimu:
swali 1:taja zao la biashara la mkoa...
Nilijua tu na mie lazima nipate cha kuanzishia sred kufuatia kifo cha Msanii Maarufu.
Inasemekana, kuna uwezekano wa tarehe 7 April kuitwa :A S new:Double K's Day.:A S new:
Hii inatokana na...
Wadau habari za muda?
Poleni na majukumu.
Hivi, nilikuwa napitia news nikaja spot kwamba Lulu ana umri wa miaka 17, na si 18 kama ambavyo imekuwa ikidhaniwa.
Sasa, wakati anaondoka maeneo ya...
Usiku wa leo niliota ndoto yenye msimamo ktk njozi yangu!
Nimeota hivi kwa jinsi nilivyoota ni kwamba mtandao huu wa JF utakuja kuwa mtandao wenye nguvu katika nyanja zote zinazolenga mambo ya...
Juzi nilikutana na mpenzi wangu, macho yalikuwa yamemvimba sana na hakuwa katika
hali yake ya kawaida…. Nikamuuliza kulikoni na macho mbona yako hivyo? Akanijibu kuwa kifo cha Kanumba...
Wapendwa,
Mabibi na Mabwana,
Wakaka na Wadada,
Bandugu,
Bila kuhusisha itikadi za chama na kwa wale wanaopenda kujiongezea umri wa kuishi basi nawashauri msome hiki kituko cha Ndugu yetu...
Mmasai alikuwa MC msibani alipopewa kipaza sauti akasalimia "Msiba hoyeeeeeee.......maiti safiiiiiii.....amependesa au hajapendesa.....wenye wifu ife kama hii laiyoni
Mtoto wa jirani (miaka 5 anasoma chekechea) kanijia asubuhi akaniambia eti nimtafutie CHAWA na KUNGUNI ajue jinsi walivyo. Anasema wamefundishwa ubaya wa hao wadudu na wameambiwa kila mmoja...
Wanyama wangekuwa na uwezo kuwa na IDJF hizi zingekuwa post zao ChitChat.
Mende:rafiki zangu nina furaha yaani nimeupuka kijanja kukanyagwa na binadamu.
Mbu:Mi ni HIV posite baadaye ya kunyonya...
Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la mbagala kama kawaida yao,
bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya muda konda akamuuliza "bibi
unalia nini sasa?" Bibi akajibu...
...na mtoto wa dada yangu, yaani mjomba'angu, if you know what am I saying. Marehemu aliitwa Nelasi, binti wa miaka 10, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Elu, Morogoro, aliumwa ghafla ugonjwa kama...
Jamaa baada ya kupinga tungi akawaza kimasaburi akaona ni bora aende kumalima nyumba ya wenyeji, ile kufika akakuta mji mzima wameungeleja kwa masaburi yake akapandwa na wasira akaanza kupinda...
HAKUNA MWANAUME KAMA KANUMBA YALETA TAFRANI!
Abiria wakiwa wametulia ndani yabasi
akaibuka msichan mmoja nakusema "hakuna mwanaume kama Kanumba"
Akadakia rafiki yake aliyekuwa kiti cha nyuma na...
wana jf naombeni ukweli juu ya hili eti kila kona ukipita watu wanasema kuwa lulu alitumwa kumuua kanumba hivyo anayejua lolote naomba anijuze huyo mtu aliyemtuma ni nani?
(Sorry for the topic name,nimekosea)Nina mdogo wangu ambaye ana aibu kupita kiasi utafikiri amerogwa yaani dogo anafikia point ya kuogopa hadi opposite sex na nimejaribu counselling bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.