Madenti 5 chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Bahati mbaya wakanywa pombe mpaka mida mibaya na hivyo wasingeweza kufanya mtihani kesho yake...
Katika Daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha . Mtoto akakataa! Mama akamwambia "NYONYA KAMA HUTAKI NAMPA ANKO" (Anko ni kaka mmoja abiria aliekaa na huyo Mama pembeni) mtoto akanyonya kidogo...
> Difference between Boys and Girls while using ATM
>
>
> Boys:
>
> 1. Drive to the bank, park and go to the Cash Dispenser.
> 2. Insert card
> 3. Dial code and desired amount
> 4. Take...
Huwa nashindwa kuelewa,kwa nini kila kitu wanatufadhili wa marekani?
Hii ipo hasa kwenye sekta nyeti mfano afya,maliasili na utalii,nishati na madini..nk.
Hivi hawa wageni wanatoa vitu bure tu kwa...
Mzee mmoja alienda kufanyiwa upasuaji wa makende (korodani/pumbu) zake, wakati tabibu amezitoa zile korodani na kuziweka pembeni huku akiendelea na tiba bahati mbaya paka akazipitia katika...
Mlevi anarudi na rafiki yake mgeni nyumbani kwake na kuanza kumuelekeza hii ni nyumba yangu na lile ni gari langu,wakaingia ndani wanalikuta njemba limelala na mke wa mlevi bila wasiwasi mlevi...
Mazungumzo yalikua hv:baba sasa iv mwanangu umefanya vizur lakin mbon hl swal la kutoa umelikosa?Madenge hapana bab yote hayo niliangalia kwa jiran yangu juma lakin hl la kutoa alinikatalia eti...
Kunamchz mmoja alienda town alpoenda town alkuta wahind wengi sana ikabdi aulize michano ilkua iv "iv india siombali sana,jamaa mmoja akajbu itakuwa siombali kwasabab boss wetu anakujaga kwa baskel!!
Kwa takribani saa zima na ushee JF haikuwa hewani kabisa na meseji niliyokuwa napata iko consistent na ile unayopata kama umekula server ban.
Sasa nikadhani ndo nshalimwa hilo ban kumbe wapi...
MTOTO: Baba ntumie hela ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya la sivyo ntajinyonga.
BABA:huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga sawa tu kwa sababu utapunguza...
I'am a 7 letter word,u have me daily.my 5,6,7 letters increase each year,my 3 and 4 are the same my.my 3, 2,5 letters cover 79% of the world.whom am i?
Ni hizi avatar za JF. Zipo mbili zinafanana kiasi cha kuwazingua wanangu Fred na Frida. Mojawapo ni ya Yo Yo, na ingine ni ya Kinyerezi. Ukisoma post na michango yao wadudu wadogo weusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.