Huyu si mwingine ni yule yule mkali wa safari ambaye bado safari 63 amfunike vasco da gama kwa kuwa ndiye anayeshikilia record ya kusafiri safari nying duniani kuliko kiumbe yeyote yule je...
kwa takribani siku nne mfululizo kila mtu anazungumza habari za kifo cha Kanumba ki ukweli inauma ila ndo yashatokea na tushamzika leo basi hatuna budi kuwaachia wanafamilia waendelee na msiba wa...
nawashukuru kwa ushauri wenu wana jf laaziz amenielewa nimeongea nae kwa kirefu hatimae chaunabe wetu ameumbuka. aisee nawashukuru sn tena sana sina tu cha kuwalipa mungu awape maisha marefu...
Wanafunzi wawili baada ya kumaliza mtihani wa Kiswahili wakawa wanaongea.
Mwanafunzi 1:Mtihani ulikuwa mzuri sana na mda ulitosha.
Mwanafunzi 2:Maswali yote marahisi ila isipokuwa swali la 5...
Nimeona nitoe maelezo kidogo kuhusu nii kitu maana kwenye mojawapo ya posts kwenye thread za huyu kijana aliyekufa hivi karibuni kuna mtu kaandika kua alibugia "pombe ya kirusi"
Jack Daniel's...
Jamani kuna gesti moja mitaa ya Kigogo,inaitwa L**O*WO GUEST HOUSE,chondechonde,ukiingia na mke wa mtu lazima wakati wa tendo azimie,nasisitiza akiwa MKE WA MTU TU! Haijalishi kama ana tatizo la...
Mtu mzima, [tena usikute msomi na degree zako kadhaa kichwani] unaingia chooni, iwe choo cha umma au binafsi, iwe ofisini au kituo cha basi unakuta choo kisafi, kinang'ara, unaachia mkojo...
Kitendo cha Rais kwenda kwenye msiba wa Marehemu Kanumba, kimenifadhahisha sana! Na ni kutokana na kuvuruga kabisa uchunguzi wa kifo cha marehemu. Awali lawama zangu zinakwenda moja kwa moja kwa...
Wadau poleni sana,
Kusema ukweli mi ni mmojawapo wa watu tuliokuwa hatumkubali kanumba kwamba yupo juu kiasi hiki lakini nimekubali,
Yaani barabara hazipitiki, traffic na FFU wa kumwaga...
Wana Jf.habari. Niko hapa Deluksi hotel,karibu na kwenye msiba wa kanumba.watu wamemzingira ajuza mmoja mnene,mfupi akiwa amevaa gauni anayedaiwa ameanguka eneo hili kutokana na ungo wake...
Tunaomba Picha hapa.
Umbea niliosikia.
1. Mpaka sasa fence ya makaburi ya kinondoni ipo chini.
2. Leaders pamajaa hakuna mfano kwahiyo kuna watu wamewahi ,akaburini.
3. Watu walio juu ya miti ni...
Paska ndo hiyo imekaribia hadi dakika hii bilabila msema ukweli mpenzi wa mungu
jamani bila aibu wala kificho natafuta mtoko wa pasaka nakaribisha mialiko mbalimbali then ntaifanyia procurement...
Edson:
Kwanini umechagua avatar ya picha ya Mzee Mugabe akiwa amezimia kwenye sofa?
sikumbuki majana ya hawa.
1. Kuna member ana avatar ya m2 aliyebeba jeneza kwenye pikipiki
2. kuna member...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.