Leo boksi si kwa sana kwa hiyo nimejikalia tu hapa nikikumbuka enzi za ushababi wangu....mapitio yote niliyopitia na tajiriba ya maisha niliyonayo na jinsi ilivyoniumba hadi kufikia hapa nilipo...
Kuna Baba mmoja alimkamata mtoto fulani kwa
kosa la kumtania kwamba anakichwa kama
mafiga,baba yule alimchukua mpaka kwa baba
wa mtoto yule,MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI:
BABA WA MTOTO: Na huyo...
A man checked into a hotel. There was a computer in his room, so he decided to send a mail to his wife.
However, he accidentally typed a wrong address, and without realizing he sent the mail...
Nimekutana na mawazo mengi ya wanajamii wa tz hasa wale waliokata tamaa ktk mambo fulani. Pata picha kama Mungu angesikia vilio vyao. Kuna hii hapa: Bora ningezaliwa Mbwa ulaya kuliko kuwa mtu...
Wadau,nimetoka kuongea na ndugu yangu ambaye ameshiriki kwenye mchakato wa interview katika sekta moja nyeti sana nchini.
Kilichonistua ni kuwa intavyuu yenyewe ni ya ajabu sana
1...
Ndugu wana jamvi,
Ingekuwa vipi kama mpambano wa MBAYA BORA TANZANIA ungefanyika leo na washiriki akawa:-
(a) Massoud Massoud
(b) Wassira a.k.a Gombe
(c) Dr. Remmy (r.i.p)...
Salaam Wakubwa
Naomba mawazo/mchango wenu katika kufahamu upekee wa Mtanzania ukifananisha na nchi nyingine duniani katika
Mazingira tunayoishi mf mitaa na jinsi watu wanavyosurvive maisha ya...
Three girls all worked in the same office with thesame female boss. Each day, they noticed the boss left work early. One day the girls decided that, when the boss left, they would leave right...
A 'just married' White couple decided to make love on their wedding night in the hotel.
The wife did not want to get pregnant yet and requested the husband to buy co***ms from the shop nearby...
watanzania huwa tunashabikia sana viongozi kutangaza mali zao sasa ili kuonyesha ni jambo jema na sisi wanajamvi tutangaze zetu, tuwe wakweli.
Naanza: Mi nnamiliki kalaptopu ya laki nane, redio...
Nilikuwa hospitali ya mkoa leo na nikaona kitu kikanikumbusha nilichowahi kuwaza siku moja mbona hawa manesi wa hospitali za serikali hasa wa huku mikoani hawana mvuto hivi! Hivi hawa mabinti wa...
MSHITAKIWA Rajabu Athumani (20) jana amehukumiwa kifungo cha siku 14 kwa kosa la kuonekana mahakamani akiwa amevalia kaptula chini ya makalio maarufu kama mlegezo.
Athumani ambaye alifika katika...
Maisha ni magumu sana, ukiangalia mbali ndio unachoka kabisa. huu ugumu kwa asilimia kubwa unasababishwa na viongozi wetu wa siasa tulionao sasa. Jamani naona 2015 mbali sana, tutafika kweli...
Padri mmoja alikuwa anahubiri, akasema, Wasiotubu dhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu. Kibogoyo mmoja akacheka, akamnong'oneza mwenzake "thithi tumebarikiwa, hii adhabu ya kuthaga meno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.