uswahilini kwetu kulikuwa na malumbano kati ya mume na mkewe. Mara tukasikia; "jinsi kiwango chako kilivyoporomoka, nafikiria kukupeleka kokote walau ukacheze kwa mkopo ili gemu lako la hapa...
Ninakuhakikishia katika sifa hizi
kumi lazima wewe ulikuwa nazo
kadhaa.
...
1. Ulishacheza kibaba babaa/kimama mamaa
2. Ulikuwa mwizi wa sukari
3. wakati wa sikukuu usiponunuliwa nguo...
Panya wa3 walikuwa na kikao kifup na maongezi yao yalikuwa ya kutambiana kama ifuatavyo;
Panya 1: mi nimekula chakula chenye sumu wala cjafa me balaa
Panya 2: we kidogo ivyo mi nimeingia kwenye...
A drunkard enters a bus and realizes his wallet went missing.
Mlevi: Somebody has stolen my wallet! If I don't find it, same thing
that happened in 1978 will repeat itself today.
Passengers...
Hii mitandao ambayo main aim ni kua connected with friends worldwide inaongeza kiwango cha kufail wanafunzi. O Level na Advance, pia Wanavyuo wanapunguza GPA zao ...
Uwongo?
Wakati mdogo niliokotaga sh 5 nikaanza kushangilia... basi wenzangu wakaacha kucheza wakanizonga umeokota wapi na sisi tukaokote..huku wakinitolea mimacho... nikawaambia "nimeokota paleee...tena...
Kijana mmoja mtoto wa tajiri alitokea kumpenda binti mmoja mrembo kweli. Kwa kukosa kujiamini akawa kila wakikutana na yule mrembo anasifia utajiri wa baba yake. Binti "akaingia laini" na kumuomba...
To: ALL STAFF
From: HRM
Due to the current financial situation caused by the slowdown in the economy, the Company has decided to implement a scheme to put workers of 50 years of age and...
Dogo alikua anacheza na wenzake akaitwa na dingi yake aliekua amejipumzisha chini ya mti mambo yakawa hivi...
Dingi..' we nanii....'
Dogo...'naaaaaaaaaaam'
Dingi....' hebu kaniletee maji ya...
Ndugu zangu wanaJF HBR ZA KAZI?
Naomba kuuliza japo naweza kuambiwa mshamba au vipi. Hivi wafu fm ni redio gani, maana sijawahi isikia Tanzania, na kwanini imeitwa wafu fm?
Au inahusika...
Hizi pesa ni moja wapo ya zawadi kubwa sana nilizopata katika harusi yangu kama miaka miaka miwili iliyopita. Pesa hizo zilitolewa kama zawadi na wazazi wa mke wangu kama zawadi kwa kufunga pingu...
GrEatThinkers,
Nimetafakari sana nimeona kwa kuwa Inafaa yale madampo ya Uchafu tuyape majina ya viongozi wezi,wahuni, wavunja sheria nk.
Hii itaturahishia kuwakumbuka milele, kizazi baada ya...
wadau nnaombeni mchango wenu:
hivi ingekuwaje wanaume nao wangekuwa wanabeba mimba? mkisha fanya ngono mimba ni fifte fifte kwa mwanaume au mwanamke. maza aliniambia wangekuwa wanabomoa nyumba kwa...
Teja 1 alikuwa anasikiliza mawaidha msikitini. Shekhe akauliza je, nabii gani alikuwa wa kwanza kuongea na wanyama?....... teja akanyoosha mkono na kujibu: nazani atakuwa nabii TAAZANI... wa2...
salaam ndege mia ndege wakasema sisi sio mia ukitaka tuwe mia ongeza wengine kama sisi na nusu yetu na robo yetu na wewe mwenyewe je ndege walikuwa wangapi?
Jamaa 1 alishtakiwa kwa kufanya ngono na mwanae. Alipopewa nafasi ya kujitetea mahakamani aliuliza. Jamaa: ndugu hakimu kipi hustahili kuliwa kati ya mtaji na faida...
..Nimekubali Dar kiboko...
..Yaan nimeamka Asubuhi na Mapema...lakini maji hakuna..yamekatika...Umeme pia umekatika..nikachelewa kuoga na kunyoosha...
Naingia Barabarani...Foleni....nafika Ofcn...
Dada yangu Kongosho habari?
Kwanza hongera kwa kutimiza mwaka ukiwa JF. Leo naomba niwasaidie wengine ambao wamekuwa na maswali meeeeeeeeengi juu ya dada Kongosho.... hii thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.