Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, tusherekee kwa pamoja.
The bride upon her engagement, went to her mother and said: "I have found a man like father". Her mom replied: "So what do you want from me.. sympathy?"
Aisee! Mimi hii kitu inanikera sana. Hivi ni kwa nini watu wanakuwa na GUBU. Ni jambo la kuzaliwa nalo au wanajiendekeza tu? Mtu ukimfanyia kosa ataseeema jambo hilo hilo usiku na mchana mpaka...
Habari wadada?
Hii ni maalum kwa wadada wote mliowahi kusoma boarding, miaka ile nikiwa secondary niliwahi kusikia kuwa imewahi kutokea kwa shule kadhaa kwa wadada kuugua ugonjwa wa "kucheka...
hawa wadada walioko FNL wana wazazi kweli?
wanakera na nyie waandaji mjipange mnatangaza
biashara?
Hebu kaone haka kanachojifanya amber rose akijichekecha kidogo tu lazma watu tuone UA...
Mfanyabiashara mmoja akiwa katika moja ya safari zake za kibiashara aliamua kwenda kwenye ukumbi wa burudani jioni baada ya siku ndefu ya pilika nyingi. Kulikuwa na bendi ya muziki wa dansi...
wanajamii napenda kuwaambia tu member mwenzenu natarajia kuoa mungu akipenda mwezi wa sita, ndani ya Jiji la Mwanza...nahitaji na napokea mchango kuanzia elfu kumi na kuendelea...tigo pesa tuma...
1. Kujisifia kuwa ushatembea na kila dizain ya dem na umebakisha wahindi wekundu
2. Kujisifia kuwa una uwezo wa kunywa kreti zima la bia
3. Kujisifia kuwa kwamba mpenzi wako amekufia ile mbayo...
Dogo mmoja alikuwa anapIga story na BABA yake mara demu wake akatokeA!...dah! BABA mwenyewe mtata sana...dogo akaamua kutumia akili ya kuzaliwa ...maongez na dem wake yakawa ivi;
Dogo:Umekuja...
Jamaa alirudi bush toka shule mjini... basi sharobaro mmoja wa pale bush akamfuata akamwambia nifundishe kuongea kiEnglish ili namimi wanikome... Jamaa akamwambia sharobalo ukikutana na mzungu...
Wewe ni baba ndani ya familia au hata kama ni wazazi wako,bahati mbaya au nzuri we ni mkali na ukikohoa tuu watoto na mke wanashtuka na wanaitika,siku moja wakaja Polisi home kukuarest,kabla BABA...
"A Husband and his wife agreed that anytime they want to have sex, they will call it a 'PHONE CALL' so that the kids will not decode.
One day, the husband sent his son to tell his mother that
he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.