Sayansi na Teknologia.

Sayansi na Teknologia.

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,414
Reaction score
3,043
Sayansi na Teknolojia imepelekea kharamu kuwa halali: Angalia wazinifu kuitwa wapenzi. Kamari kuitwa Bahati Nasibu. Mganga kuitwa Fundi. Anaetembea uchi kuitwa Mrembo. Mfiraji kuitwa Basha.......endelea......
 
Duh! Natafuta jukwaa la MMU jamani, naombeni kuelekezwa njia
 
Mwizi wa mali ya uma kuitwa mjanja.
Fisadi serikalini kuitwa tajiri la Epa.
Mlevi wa Mandrax, Cocaine kuitwa Mteja.
 
Back
Top Bottom