Mwanahistoria,padri na mwanafizikia walikufa wakafika mbele ya mwenyezi Mungu.Mwenyezi Mungu akawaambia..."atakaejibu maswali yangu vizuri ataingia mbinguni".akaanza na mwanahistoria;
Mungu;ni...
Dogo alikuwa mitaani anauza gazeti la Laasiri huku anatangaza:
Extra News, habari moto moto za Laasiri!
"Leo watu Mia watapeliwa kwa mpigo"
Jipatie nakala yako. Watu 100 watapeliwa. Extra extra...
Tukio la Fabrice Muamba limenifanya nifikiri kuwa
kuna watu wengi katika dunia ya tatu wanazikwa
wakiwa hai na hii inatokana na umaskini wetu
unaosababisha kukosa vifaa vya uhakika, kukosa...
Dogo alifeli mtihani na karibu abakishwe darasa lile kam si baba yake kwenda kumwomba mwalimu ampe mwanawe fursa nyengine. Mwalimu alikubali.
Siku ya mtihani wa marudio, dogo alifanya mtihani na...
Jamani nimeona niwasalimu wote popote mlipo ila
Salamu zangu za upendeleo nazituma kwa Bagah na Shemeji yake(Amyner) popote walipo....
Salamu kwa Mtally,Kabakabana,Smiling Saint....dah ni wengi...
father ; nilete soda we mtoto
son ; pepsi or coka?
father ; pepsi
son ; ya kopo ya chupa?
father ; ya kopo
son ; ya baridi or yamoto?
father ; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana...
kautafiti kangu(sitaki kuulizwa kuhusu data nk) kamebaini kuwa jumamosi na kipindi hiki cha mpito kuelekea sikukuu..............
Utasimamishwa na tra waangalie kama umelipa ushuru...
Utapigwa...
Happy Birthday to me usipojipenda nakujithamini mwenyewe hakuna wa kukufanyia hivyo.
Psalm 103
Praise for the Lords Mercies
A Psalm Of David.
1 Bless athe Lord, O my soul;
And...
......kumuona spika wa bunge wa nchi moja barani afrika akiwa bila wigi kichwani kupitia TBC1.Ghafla mwanangu ameanza kulia,kwa hiyo niko busy kumbembeleza.
Saburi la kichina.,...tumbo la kichina...titi la kichina... Tumbo la kichina....nywele za kichina...guu la kichina...kucha za kichina...kope za kichinaaa...hin haaaaaaa
Wana JF mtu akikwambia kazi ni kwako maaana yake huko mbeleni unakazi ya ziada kuweza kuvuka kikwazo(utajiju huko mbeleni kwa lugha ya mitaaani)sasa vodacom wanaamaana gani kwa sisi watumiaji...
are you game? Inatakiwa tuwe idadi ya watu 10. Ili kuwe na gender balance itatikiwa kua 5/5
usafiri tayari upo. Hakikisha una pesa sio chini ya 1 M. uwe athletic na ready
to do crazy things. Hio...
Wakuu hivi yule mwandishi mashuhuri wa pass za kusafiria za miaka ile ya nyuma kabla ya hii technolojia ya kuandikia computer haijafungwa pale uhamiaji yuko wapi??
Nilikuwa napitia passport za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.