Wakati nikiwa mdogo,nilikuwa nikisimuliwa Hekaya mbalimbali kuhusu Kifimbo cha Hayati Baba wa Taifa-Julius Nyerere.
Kwamba kilikuwa na Maajabu ambayo baadhi ya watu waliokuwa wakifanya kazi nae...
Jana kuna mchungaji mmoja katika mahubiri yake huwa anachangamsha sana waumini wake,kwa mfano utakuta katikati ya mahubiri utasikia "..Muambie jirani yako..Yesu anakupenda!" basi kwa furaha na...
Jamaa 1 alikuwa akisafiri akapumzika chini ya muembe. Alipoangalia juu alisema moyoni "mungu kwel amekosea kuweka maembe madogo juu wakat maboga makubwa yako chini ardhini" Akapitiwa na usingizi...
Leo hii watu mnalalamika kuhusu wachaga na tabia zao. Amini nawaambieni tamaa za hawa jamaa hazijaanza leo au jana. Tangu enzi za mangi mareale alimsaliti mwalimu wakati wa kupigania uhuru...
Jaza mapengo kwa ku2mia neno {zi} naamka asubuhi nina usingi... nakunywa chai na maanda... Kwa mchu... wa na... na ndi... ninae soma sms hii mimi ni chi... pia mshen... niliekosa ra... za waza...
Tsup great thinkers. J3 ndio inayoyoma hivo, kama huja"make" mpaka mida hii kaza buti mwanawane.
Naomba niwaulize swali la "kizushi".. Hivi ni nani yupo responsible kumpa mtoto jina pindi...
Sala ya kuombea kabati ya mume baada ya kuifua. Naiombea kabati ya mume wangu anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu basi...
Nasikia ati kipimajoto siku hizi hakiwekwi chini ya ulimi wa mgonjwa baada ya mmasai mmoja kukimeza kwa kuzani muuguzi anempa dawa amese. Jambo hili lina ukweli gani wajameni?
Machizi wawili katika pitapita wakaokota kioo. Kichaa wa kwanza kujiangalia kwenye kikoo,akashtuka,
baada ya kujiona.
"Aloo huyu nani kwenye kioo mbona simjui ?!"
KICHAA WA PILI: (Akimpokonya...
Umewahi kuwa na mtoto mdogo <---5 sehemu ya public, akawa analia alafu watu kibao wanaopita au waliopo karibu wakaanza kukwambia anachohitaji huyo mtoto (kulala, kula, kubebwa, kucheza) bila kujua...
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada!
eg..Last Kings Tyga Snapback
ymcmb snapback
MMG
Edit Post Reply...
Viongozi wahusika mpooooooooo ? Ikiwezekana libatilishwe na kuundwa baraza Lingine litakalokuwa kwa ajili ya wananchi wa kata ya Mzimuni na si kwa ajili ya maslahi ya watu fulani na hasa wa...
Hii inatokea kwa kina dada. Hivi unajisikiaje upo njiani una mishe zako huku nyuma unaanza kusikia miluzi. Psiiiii.... oyaaaaa.... mremboooo.....
Tena hamna cha maana wanachokuitia zaidi ya...
Duu hapa nilipo namajanga kibao.
Kiukweli hili ni neno majawapo ambalo kila siku iendayo kwa mwenyezi MUNGU. lazima nilisikie masikion mwangu.
Je wadau neno hili lina maana gani?? Au umekwisha...
Habari zenu, mkiwa kwenye Jumapili inayoelekea I. C.U kwa kasi sana.
Nimekua naguswa sana na wanawake wenye upevu wa kiakili na maarifa na hasa yale yanayoendana na mahusiano.
Hidaya (22...
There was big news in Heaven.
Micheal ran to Heaven's gate and
said "Whitney what are you
doing here?" and she said "I came
to sing a duet with you",
Aaliyah said "I wanna be in it
too"...
The other day I went to the local religious book store, where I saw a
HONK IF YOU LOVE JESUS bumper sticker. I bought it and put it on the
back bumper of my car, and I'm really glad I did...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.