Baada ya mbwa wa mourinho kupewa mimba na mbwa wa sergio ramos(beki wa madrid) katika mazingira ya utata,mourinho alimlaumu sana mkewe.Mourinho akamwambia mkewe;"kama mbwa wetu ambaye ni mlinzi...
Kumbe Salama Jabir ndie anaetumia ID KONGOSHO.
Facts:
1. Comments zake humu jamvini ni kama zile za kwenye BSS.
2. Kuna jamaa ameanzisha uzi wenye title "Salama Jabir" kule MMU, dah...
Naweza sema ni nyumbani kwakuwa muda mwingi nautumia nikiwa chuo kuliko home,
Wanajamvi niko safarini kijana wenu, tuombeane kheri nduguzangu,
Nawatakia wikiend njema wote.
Wana JF, salam!
Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Hivi hii nayo huwa imeekaje wazee wakubwa ?
Muuzaji anauza nyumba yake kwa Mil. 10 ...!
Dalali kamseti mnunuzi kwa Mil. 15 ...!
Mnunuzi karidhia bei bila tatizo ...!
Muuzaji anaona kaibiwa...
Wadau nna imani ni jioni tulivu na mko poa.
Majuzi kuna Sredi ilishushwa hapa Jamvi,
ikiwa inaonesha kutia mashaka wasani wa kiume wanaoshiriki sanaa ya Taarab, na mtoa Thread akawaoneshea...
Jamani nataka kufahamu tabia zao,vitu ambavyo hawapendi,je kwenye mapenzi wakoje?wavumilivu?kiburi?
bado wanafuata mambo ya mila zao?
ebu nipeni nondoz nataka nimrushie mmoja ndoano.
...huwa najiuliza mwanadada anapokuomba msaada kijana wa kiume,unakua na nguvu za ajabu kusaidi...(hapa naongelea mizigo zaidi)...leo nimekuta mdada kabeba ndoo ya maji...nikamwambia...
Hi JF! Naombeni kuuliza, hivi ushenga siku hizi ni ajira? Manake kuna sehem flan nilipita nikaona mabango yana-advertize madalalali, waganga n.k, pembeni yake nikaona bango linasomeka "MSHENGA...
A bus stops and two Italian men get on. They sit down and engage in an animated conversation. The lady sitting behind them ignores them at first, but her attention is galvanized when she hears one...
WA1;Sikumoja nilitaka kutoka out na mke wangu nikampigia cm akapokea hakusema halooo na mie nikauchuna hadi crediti zikaisha.
wa2;aah we cha mtoto tu mimim kuna day nilirudi home ucku nikagonga...
Weekend Quotes & Sayings from varied Personalities!
01. Cheers to the freakin' weekend. I drink to that, yeah yeah.
THE BOSS
02. This is how we do it. Its friday night, and I feel all right...
1. Nyani haoni..............lake
2. Mficha.......hazai
3. Kumuiga tembo.......kubwa uta.......msamba
4. Man who scratch ass should not bite fingernails
5. Man with hand in pocket feels cocky all...
Baada ya kukaa miaka 5 bila kujamiiana wakiwa kama wachumba, ukafika ule usiku uliohalalishwa kwa Bwana harusi (ambaye alikuwa hajafanya tendo la ndoa tangu azaliwe) na Bibi harusi (bikra) kufanya...
Imebainika kuwa sehemu 2/3 ya Polisi wa London ni wanene kupindukia.
Ili kuhakikisha ufanisi kazini, watalazimika kufanyiwa majaribio kila mwaka na ambaye hakukidhi kiwango cha unene...
Nimejicheka nilipokumbuka siku moja nilipokua darasa la kwanza nilifuta sehem niliyokosea kwenye daftari mpaka pakachanika! Unajua nilifutia kwa kutumia nini? Teh, teh..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.