JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hili neno ORIGINAL naona wabongo wameamua kulichakachua.Ninamaanisha kwamba,mara nyingi utasikia mtu anakwambia nenda duka fulani wale wanauza lace wig au brazillian hair original. Kusema ukweli...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Nakumbuka mara mwisho nilikuwa naimba kwaya kwenye mtaro....hapaa nimeshalewa mbaya sijui hata nipo wapi,naomba msaada mnitafute.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali ya kutatanisha na kuwashangaza wapenda soka wengi,kocha wa timu ya mpira wa miguu ya SAMBLICHOLE ya KIPUNGUNI-KITUNDA Joseph Mnanka 'aka'SIR ALEX FERGUSON' amebwaga manyanga asubuhi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku moja mchaga alikwenda soko la mbuzi,vingunguti na kununua mbuzi. Kabla ya kumchinja mbuzi yule kabla ya kitoweo,akamuachia maagizo mchinjaji na mpishi; "Ukisha mchija kwanya damu tengeneza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Chuo maalum kwa ajili ya kutoa ajira za chapchap kimefunguliwa hapa Kiborloni. Chuo Kimesajiliwa na VETA na kina waalimu waliobobea katika nyanja zote. Chuo kinapokea maombi kwa wanafunzi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ivi naomba niuleze eti mwanaume hua ana bikira?! Sasa kama hajawahi kufanya mapenzi anajulikanaje?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Barua ya mwita!:A S-frusty2:
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Inasemekana kuna watu wa aina nne,kuna wale ni rahisi kuzoeleka na pia rahisi kuzoea watu.Watu wa namna hii ni wacheshi na wachangamfu mno.Aina ya pili ni wale awazoeki haraka,inawezekana akakaa...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
wakazi wa DAR napenda kuwashirikisha hili: leo naenda KIMANZICHANA nasikia kuna mashamba yanauzwa bei poa...afu nitarudi niende MADALA...nako kuna deal la viwanja bei ni poa pia!.. tushirikiane...
0 Reactions
6 Replies
932 Views
Njemba moja ilifumaniwa huko Morogoro. Aliyefumania hakuwa na makuu aliwasabahi wagoni wake na kisha kutoka na nguo ndogo ya ndani ya yule njemba na kuondoka. Huku nyuma njemba lilikurupuka mbio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii nimekuta kwenye madaftari yangu ya jiogorafia shule ya msingi. Nakumbuka nilikula fimbo kwa kumsabahi mwalimu kwa maandishi nikiwa nimeketi huku wenzangu wamesima. Yahusu: ombi la mapenzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mabint hupenda kutumia neno...ku do. wamama wanaita kufanya wazee wanaita kunyosha viungo je wewe unaitaje?........... Madent je.............
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu wote...... Hapa nazungumzia sauti kwa wanaume (Msinipige mawe) Napenda kupata maoni yenu may be mie nakosea kufikiria hivyo....................... Nimekuwa nikiona mwanaume mwenye...
5 Reactions
184 Replies
11K Views
Jamani hivi rada ni kitu gani tokea mwaka jana nasikia tu ununuzi wa rada ununuzi wa rada nisaidieni
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natamani sana one day to vist outside of tza,ninaweza kupata comrades wa nje hapa jf? Kama mpo,tujulishane!
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mimi siku ikipita bila kuchungulia yaliyojiri ndani ya hili jukwaa letu huwa nahisi kama nimekosa kitu muhimu sana ktk maisha yangu. Huwa najihisi mkiwa, mnyonge na nakosa furaha siku hiyo. Je...
0 Reactions
88 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka matatu yakiwamo ya kutakatisha fedha haramu kosa ambalo halina dhamana kisheria na...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwani amenibariki mimi na mke wangu mtoto wa kwanza mtoto wa kiume. Thanks GOD for this blessing. Jamani sisi sote ni ndugu karibuni mnipongeze na tufurahi pamoja.
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Back
Top Bottom