JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
God went to the Arabs and said, "I have Commandments for you that will make your lives better." The Arabs asked, " What are Commandments? Can you give us an example?" God said, " For example...
1 Reactions
6 Replies
917 Views
Nilikuwa kijana niliyehitimu kidato cha nne mwaka 1990. Baada ya kusota bila kazi kwa miaka mitatu(3),nilikuja kupata kwenye kampuni moja ya Wahindi jijini Dar. Katika kampuni hiyo,palitokea...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wajameni Eneo ninaloishi mimi hapa Dar, kuna mvua kubwa balaa iliyoambatana na upepo mkali wa hatari inayonyesha sasa, siwezi kutoka kwenda kazini na watoto nimewazuia wasiende shule!. Vipi...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
JF tumekuwa tukichit chat ,tukidondokeana mambo ya flirt na mengineyo kibao .. Lakini je hivi kwa mfano unaulizwa Kongosho bila mjadala wala nini naitaka roho yako muda huu hapana mambo ya ooh...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
0 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani wekeni hapa forums kama hii jamii forums,za kiinglish nikajoin...nataka niimprove english yangu iwe kama ya akina nyani ngabu na kiranga,nimegundua muda mwingi natumia lugha ya...
0 Reactions
56 Replies
3K Views
:A S-coffee:
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwani hujaona heading mpaka ufungue huku?Mod mpeni msamaha Faiza tumemiss manjonjo yake jamvini,
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu kina NShomile? Leo nipo kwenu naomba kujua maeneo yenu vizuri, chakula kizuri nitakipata wapi? na sehemu gani yenye full soft drinks but iko cool na safi na nifahamu pia kama mna siku...
2 Reactions
105 Replies
6K Views
Today, I would like to talk about myself. Many of you do not know who Superman is. There are members in here @JF who think Superman is just an ordinary man, but I am not. Superman is a brave...
1 Reactions
179 Replies
49K Views
Four friends, who hadn't seen each other in 30 years, reunited at a Party. After several drinks, one of the men had to use the rest room. After he had left, those who remained started discussing...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya tuhuma za wizi toka jirani yake, kesi ilifika kwa mjumbe.... mjumbe: ni kweli umeiba? Mnyakyusa: ndiyo nimeiba Mjumbe:narudia tena ya pili, kweli umeiba? Mnyakyusa: ndiyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wivu unatabu sana, bwana mmoja alikuwa na wake wawili, siku 1 usiku yule bwana alilala kwa mke mdogo chumba cha pili, ktk kustarehe yule bwana AKANOGEWA akaanza kusema kwa sauti nako***, mke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna wanawake ukiwapa zawadi ya Chocolate basi inakuwa umemaliza kila kitu,lakini wengine bila chips yai ua kuku basi wewe unaonekana "how comes". Hii kitu inanichanganya hadi najiuliza hivi hawa...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Huyo braza sijui ni nani sijamtambua!!
1 Reactions
148 Replies
7K Views
Kesho Mungu akipenda natarajia kuanza safari ya kurudi Mzumbeni/MOROGORO, mnamo majira ya saa 2 au 3 usiku nitakuwa nimefika Moro, kwa mida hiyo ninapaswa kulala Moro mjini/gesti halafu asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mm ni ss ninasoma chuo kikuu cha dodoma mwaka wa tatu ba-education.. Kwa muda mwingi nilikuwa nikilelewa na kaka yangu ila by this moment i need to see my mum because mum ndiye mwenye kufahamu how...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wenzangu habarini za jioni . "Kosa sura pata zegembe" Awali ya yote naomba jamvi linielewe kua hayo maneno (headin') yaliobeba Sredi hii si maneno yangu. Maneno hayo nimeyasikia...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
inasemekana majina ya ki bongo ni maneno ya vichekesho na maneno ya ajabu ktk lugha za ki magharibi.. maana yake.. asili yake.. chanzo chake... *reply* hapa jina lako ujibiwe..
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni aghalabu kuwakosa hawa jf, nitonye, sweetlady, bagah, nyani ngabu, ashadii, firstlady, boflo, cantalisia, bishanga, walinazi(huyu kaja juzi juzi tu hapa jf lakini yumo), youngmaster, na........,
0 Reactions
140 Replies
6K Views
Back
Top Bottom