Haya ndugu watazamaji wa kituo chetu bora cha habari,ile mechi kali kati ya serikali na madaktari karibia kipindi cha pili kinaanza. HALF TIME ndo inaisha leo,timu zote zinajitaarisha kutoka...
Wadau sijui ni ushamba wangu, au ni kutokuelewa.
Suala la vinywaji kuendana na tukio, mlo, wakati au sehemu, linanipiga chenga.
Inawezekana mezani tumemaliza kula, kila mtu akiwa na glass yake...
Pepo za umeme zitavuma taratibu kutoka upande wa kusini mwa Dar es Salaam kuelekea upande wa Kaskazini. Hivyo kutakuwa na umeme mchache maeneo yote ya Jiji na ngurumo nyingi za Jenereta pande za...
1. The nice men are ugly.
2. The handsome men are not nice.
3. The handsome and nice men are Gay.
4. The handsome, nice and heterosexual men are married.
5. The men who are not so...
Habarini za jioni,
Leo nataka wababa, tukae tupige story laini laini, si za kuumizana migongo, vichwa wala moyo.
Kama mjuavyo, leo akina mama si siku yao.
Uzunguni, labda wamepelekwa...
Anamtambulisha mdogo wake kwa rafiki zake'," Rafiki jangu,nyie kummona uyu bwana ndogo, yeye wa kunifatia mimi. Baada ya kuzaliwa mimi,na ule nchezo kumnogea mama,basi ndo kumpata huyu ndogo wangu...
"Nafungua Facebook account yangu, nakuta kuna notification ya friendship request kutoka kwa mtu nisiyemfahamu (Male), nacheck kuna kama common friend 10 hv kati yangu na yeye, naamua ku accept...
He's like pain in the as*
He's only been a curse
He's made my life worse
Now i'm looking for a better nurse
He's brought me so much pain
He's taken away my sun and brought me rain
He's...
Katika pitapita zangu nimewahi kuona mapacha wengi wakiwa na maadili na kuwa na tabia njema,ila sijawahi kuona
mapacha wamekuwa na maadili mabovu kama uwizi,ubakaji etc
Hivi ni mimi tu sijawaona...
Dogo mmoja alifanya kazi ya ubaharia kwa miaka mitano then akaacha kazi. Siku moja akiwa matembezi na baba yake, akawa anatembea kwa ku"swing" sideways. Baba akamuuliza: What hell is this my son...
Kila anapozaliwa binadam ataitwa jina kama utambulisho wake. Hata Mwenyezi Mungu alipomaliza kazi ya kumuumba mwanaume alimpa jina la Adam na mwanamke akamwita Eva! Majuzi kuna muumini wangu...
Foleni ndeeeefu kwenye daladala,
Jamaa kaona heri amtumie SMS bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa.
Ile kumaliza kuandika tu, kibaka kakwapua simu.
Jamaa kwa kujua kitakachofuatia...
Tunaambiwa na madokta kwamba maziwa ni mazuri kwa afya na yanaleta nguvu mwilini.Okay,nenda kanywe lita 5 za maziwa halafu kajaribu kusukuma ukuta,hutaweza kamwe..........................Hebu piga...
Padri mmoja alipoteza jogoo wake. Siku ya jumapili kanisani baada ya mahubiri akauliza, nan ana jogoo? wanaume wote wakasimama. Akasema hapana nasema nani kamuona jogoo? Wanaweke wote wakasimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.