JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
WanaJF wawili,Kabakabana naTHK DJAYZZ wakutana nakuzungumzia majukwaa ya JF.Mazungumzo yao yalienda hivi: Kabakabana:Jukwaa la siasa naliogopa sana. THK: Kisa? Hupendi siasa? Kabakabana:Si kwamba...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamaa alitembelea viwanja vya machangu doa,baada ya kusimamisha gari wakaja wasichana wengi wakimgombania,ila yeye alivutiwa na mmoja,na mazungumzo yakawa ivi. Jamaa;...Sasaa,niambie bei zako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wamakonde ni noma, katika kuwafukuza wamakonde ambao walikuwa wamezagaa town bila kazi serikali iliamua kutumia mbinu ya kuwauliza maswali ili kuwabaini coz walikuwa wamejichanganya na raia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mama Mjamzito anatarajia kujifungua Mapacha watatu, mapacha wanadiscuss 2mboni.. 1: Mi ntakuwa Fundi umeme, kuna giza sana huku 2: Mi ntakuwa Fundi bomba kuna unyevu sana huku 3: Mi ntakuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
sentesi hii yaweza kua na maana zaidi moja... zitaje.
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Leo ndo wanaaga ivo..!!
0 Reactions
4 Replies
959 Views
UKIMWI na mzunguko wake: Kijana wa Kitanzania aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo: Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI! Mama: Mwanangu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
There were these 3 guys at the lake, a German, an Englishman and a kenyan. The German took out his dick, put it in the water, waited a while and told the others: "I can feel the water it's a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
PM inbox yangu imedoda kweli..fanyeni mambo basi kura inaweza mdondokea mmoja wenu .. ...........read my signature........ nitampigisha haya mapigo kwanza ...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
During a visit to the mental asylum, a visitor asked the Director what the criterion was which defined whether or not a patient should be institutionalized. "Well," said the Director, "we fill...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mume wangu leo uichomeke vizuri iingie hasa!Maana jana nimetanua miguu tu ikatoka! Mume:mbona nilichomeka vizuri!!! Mke:Basi itakuwa kitanda kikubwa kuliko hiyo neti.:A S 2152:
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Ilikuwa mchana kama saa nane hivi. Niliingia kwenye banda langu la kuku wa kienyeji kukagua hali zao. Nikagundua kuku wengi walikuwa wanashambuliwa na funza kwenye mzunguko wa macho yao. Dawa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa upande wangu ni jukwaa la siasa.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hi JF. Kwa nini inam"pain" boy anapofaham kidume ane"mtafuna" dada yake (sio mchumba/mume) lakini gals wapo confortable na wasichana wanaotafunwa na kaka zao..
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Baba na mama,ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza,naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi,najua mtaumia kwa vile...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
:hat:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Akiwa amekaribia kushuka sista duu, akamsisitiza konda kwa sauti ya kubana: Sista du- Konda simamisha. Konda- Unasema? Sita du- Simamisha hapo mbele. Konda- Aaah, ntasimamishaje hapa mbele za...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Take a picture of urself and send it to me, i'm playin cards n i'm missin the joker!!
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Now as i sit up on my bed An image of you is in my head You give me a reason to live Without you the happiness i will never achieve The way you kiss,your touch is soft and devine I want you...
1 Reactions
303 Replies
13K Views
10+10x0=?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom