An old man goes to the doctor for his yearly physical, his wife tagging along. When the doctor enters the examination room, he tells the old man, "I need a urine sample, a stool sample and a...
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha.
Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu...
If swimming is a good exercise to stay FIT, why are whales FAT??
Why is the place in a stadium where people SIT, called a STAND?
Why is that everyone wants to go to HEAVEN but nobody wants to...
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...
1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 =...
habari zenu wana jf, leo nimekumbuka baadhi ya madikteta na waasi pmj na vikundi vyao ambao waliitikisa dunia enzi hizo...kuna akina hitler, musolini,saddam...tuendelee kujikumbusha wengineo...
Hili litakuwa zaidi ya lile la Sugu na Ruge ni zaidi ya uhasama wa cdm na ccm, ni ngoma nzito zaidi ya vita ya Bush na Osama, ni uadui zaidi ya ule wa Kibaki na Odinga, ni chuki kubwa zaidi ya ile...
Unakuta umesahau unakoelekea au umepotea njia,kurudi nyuma ulikotoka unaona aibu mbele za watu halafu unaanza kushika mifuko ya suruali,jacket au mkoba mbele za watu kuonyesha umesahau kitu,au...
When wife / husband gets one child will be called a PARENT, but when gets two children will be called REFEREE and when gets three or more children will be called SPECTATOR.
Jadili kama kuna...
"Siku zinapita, na zikishakupita hazirudi tena"
Hapa miaka imepita, MINNE.
Nakumbuka tarehe kama leo, 25 Februari 2008
nilipojiunga na Jambo kama mchezo tu,
baadaye ikaja Jamii Forums, nikaanza...
Padre alikuwa anahubiri :
'Biblia inasema kuwa wale wasiotubu na wanaendelea kutenda madhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu'.
Hapo ndipo Kibogoyo mmoja alipocheka na kumnong'oneza mwenzie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.