JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nakumbuka nikiwa na 2 years kazini Alikuja mgeni kutufanyia training kwa muda wa mwezi mmoja na nusu He was tall ,handsome ,good looking nice smile ,nice dress ,kila kitu Kwangu nilikuwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamaa wengine waliopigwa BAN ni washikaji zetu, wengine ni sawa na watoto zetu lakini JF kila mtu yuko sawa na mwenzake hakuna kutishana kwa Umri, lakini sasa hizi mvua za BAN zimekuwa ni tishio...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada kwa anaye juwa hotel ya bei rahisi hapa dar ataje hapa na bei yake.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
wagogo wenzangu wengi wanapofanikiwa kimaisha huwadharau wagogo wenzao...ila nawasifu vile msivyopenda kudhalilika na kujirahisi pindi mnapokosa pesa kama walivyo.............
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Mwenyezi Mungu akujalie afya njema unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa. Pia akujalie miaka mingi zaidi. Happy Birthday Katavi.
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Kama tungeendeleza utamaduni wa kuwapa watoto majina kutokana na matukio. 2011>> kungekuwa na watu wana majina kama -Mlipuko -Mafuriko -Magamba -Loliondo - -
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Napenda kuwajulisha wengi hapa JF kuwa waziri mkuu wa Uingereza anaitwa David Cameron na sio Cameroon kama wengi mnavyo andika hapa. Cameroon ni nchi ya kiafrica huko Africa ya kati. Asanteni.
1 Reactions
82 Replies
5K Views
Jamani tukumbushane enzi zetu. Yaani leo nimekumbuka kweli shule zangu hizo.
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Najua watu tunatofautiana majukumu ya kikazi. Wengine hutekeleza majukumu yao mchana wengine usiku. Kwa wale wamalizao majukumu yao mchana nawatakieni usiku mweme ila kwa wale wa usiku nawatakia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Today is English day I argue that all members of jf-chit chat should use this language to either post or comment on threads today. Thanks
1 Reactions
233 Replies
11K Views
Oya kuna hawa wanaosemaga eti.... "Napita tu hapa"... ktk threads.. uwa wanamaanisha nini hawa viumbe...?? na unaposema wapita wamaanisha nin?? kwamba hujaelewa au hujasoma.. na kwa nin usisepe tu...
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Watoto wa siku hizi kweli ni wa dot.com....check hii.. A little boy goes to his father and asks "Daddy, how was I born?" The father answers, "Well, son, I guess one day you will need to find...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nikisoma mada mbali mbali kutokana na lugha wanayotumia wachangiaji huwa najenga picha fulani ya mwonekano halisi wa muhusika. Wengine nawahisi ni mijitu yenye sura mbaya na miumbo ya kutisha...
1 Reactions
191 Replies
9K Views
MTOTO:...Baba,mbona me mweusi halaf dada mweupe? BABA:..Mtazame mamaako,uso mweupe miguu myeusi!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Anahojiwa na mwanadada lovness love au Diva.MH yupo juu hata kwenye malavidavi.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashkuru wakubwa,hayawi hayawi yamekua! It is my pleasure to inform you all,that the erstwhile ‘learned‘ is now officially named ‘Mtundu Kisu‘. Hili ni jina langu halisi,nimeona hakuna haja ya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
1.ambilikile mwasapile 2.mwakasege 3.lusekelo 4.gwajima ......na wengine wengi,sasa huku dar tunasubiri nini?labda best loser ndo tutatoka!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Urais wa nchi hapa Bongo 2. Uwaziri Mkuu hapa Bongo 3. M/kiti na Katibu Tume ya Taifa ya Uchaguzi 4. HR wa kampuni/viwanda vya Wadosi 5. Udakatari wa binadamu 6. Udereva wa wakubwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Massawe, Mamuya, Marealle,Masaki,Minja, Mrema, Meela, Mamkwe, Mushi, Moshi, Mosha, Malamia, Munuo, Makundi, Mrosso,Msaki,Mtei, Mongi, Mkonyi, Masera, Mshana, Mbuya, Mtui, Mlaya, Masangia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom