jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi...
Yaani nimekutana na jamaa anaeongea hivi hadi nikashangaa maana sikuwahi kuona jambo kama hili anafanya mtu ambaye tayari ana dhamana ya wananchi wa Tanzania wana kazi ya ziada kuhakikisha rais...
kichaa alikuwa ufukwenimwa bahar akiwaza,Jamaa akamuuliza:Unawaza nini?kichaa akajibu:natafakar hii bahari ingekua supu ningeinywa na chapat ngap?
Good night ma dias.
siku kama ya leo mama yangu mzazi aliniambia ilikua furaha sana kwani kijana wa kiume nilizaliwa pongezi kwa mama mzazi kwa kunilea mpaka hapa.
sina shaka napokea pongezi zenu pia.
Habari zenu wakuu,
Leo ni jumatano ya majivu kwa wenzetu wakristo na wakati mzuri wa kutafakari kufa kwa mwokozi Yesu kristo na ushindi wa kifo chake.
Nawatakia wote kwaresma njema yenye utulivu...
naomba kuuliza swali kwako Nape nauye, je? ulivuta bangi ukubwani ama ulizaliwa na degedege?
Nape Nnauye
HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO WAMECHANGANYIKIWA SANA....hahahaaa MPAKA WANACHONGA...
Kwa maoni yangu,yafuatayo ndiyo maneno maarufu kwenye Vyuo Vikuu vyetu hapa Tanzania:
1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi)
2. 'Kuuza...
Juzi nilikuwa katika pub na kulikuwa na wanafunzi (Nahisi wa chuo) wanne (4) wa kike wakijipongeza. Mmoja wao inaonekana kilaji kilikuwa kimepanda kichwani akaanza kujisifu mbele ya wenzake kuwa...
Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja....
"Ebwana daaaah...
Unajua mi ninashabaha ile mbaya... Naweza
kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu
kabisa counter bila kudondosha hata tone..."...
Wakuu niko hapa kwenye jiji letu la Arusha maeneo ya stand kubwa ya mabasi naendesha gari kuelekea kupata chakula cha mchana, lakini kinachonichanganya mpaka kufikia hatua hii ya kuleta huu Uzi...
Nimegundua kwamba watu wanapokwenda kazini asubui huwa wana hasira ya kazi na wanaporudi majumbani huwa wana stress za kazi na kuanza kukumbuka uvundo uliotokea siku nzima!sasa usiombe ukapanda...
Kuna mzee mmoja anapenda sana mabinti wadogo,siku moja akamuona binti anachati,basi mzee akazuga zuga,mpaka akamuomba yule binti e mail,binti akamwandikia kwenye kikaratasi e mail...
Obama update his facebook status LADEN IS KILLED, JUSTICE HAS BEEN DONE, after some time he get notification OSAMA BIN LADEN LIKES YOUR STATUS.:biggrin:
Habari wana JF... Hivi usharobaro unaelekea wapi? Maana nimekutana na mtu anajiita sharobaro kavaa pedo lakini me najua pedo wanavaa dada zetu sasa nimeona nililete kwenu jambo hili huku sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.