JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kijana Rock Francis baada ya kuhitmu masomo pale SAUT ajira kama unavyojua tena katika nchi yetu,,, hakufanikiwa kupata kazi....... Kutokana na majukum kuongezeka akiwa na MKEWE Farry Aziza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
...naomba ijulikane wazi kuwa sifanyi kazi, sina hisa wala sina cha kunufaika kwenye kampuni yeyote ya simu ila nina uchungu na nchi yangu. Ninalazimika kuwapigia simu watu kadhaa sehemu tofauti...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanaume wa kenya waunda chama na kutangaza mgomo wakutokula nchi nzima, kisa kuchezea kichapo kutoka kwa wake zao, je? hiyo itakuwa suruhu ya matatizo, au ndo wanajipalia mkaa kuongeza kipigo??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Kama hela haioti kwenye miti, kwnn bank zina matawi? 2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking? 4. Kama neno abbreviation...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1) Flash Disks ya aina ya TOSHIBA. 2gb- 9,000/- 4gb- 10,500/- 8gb- 12,500/- * With 1 Year Warranty. * Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi. * Special for RESELLERS. 2) Memory SD Cards (for phones,etc)...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Kuna wanaJF nilishawazoea na kuwapenda kwa michango na hamasa zao hapa JF lakini muda mrefu sijawaona. Ni hawa wafuatao: Execellent, FaizaFoxy,Sikapal na NyaniNgabu.Wako wapi? Au wamekula ban...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Mimi social network ya kwanza kujiunga ilikuwa ni The Grid nikaipotezea nikaingia facebook nikajiunga tena na twitter alafu nikajiunga nimbus alufu ndo Jamii Forums Vipi kuhusu wewe mwanajamvi?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Three girls in a boarding school on a hot day decide to remove their clothes because of the heat. About a half hour later, the door bell rings while they were undressed. They ask who it is. "The...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Man: Haven't I seen you someplace before? Woman: Yes, that's why I don't go there anymore. Man: Is this seat empty? Woman: Yes, and this one will be if you sit down. Man: Your place or mine...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Jamaa mmoja alikuwa na kawaida ya kufanyiana mizaha na mkewe hasa mmoja wao anaporudi na kukuta mwenzie hana habari kama karudi. Mizaha hii siku moja ilimkasirisha mama mkwe baada ya jamaa kurudi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeamua kufunguka na kuweka hisia zangu wazi kwa huyu binti Sweetlady, sio siri moyo wangu unamiss sana. Popote pale ulipo sweetlady naomba naomba useme neno angalau moja roho yangu iweze kupona...
1 Reactions
315 Replies
16K Views
Ni wimbo huu. Jamaa anaitwa Omari Dimples akishirikiana na Ali KIBA. Video yake ni nzuri sana, ina pozi tofauti miksa costume za humo sio zile za ki-Cabo Snoop, something I like, pia Kiba na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mchaga m1 anamiliki magari ya abiria,cku moja gari yake moja ilipata ajari akapigiwa cm,alisikitika sana na akauiza"abiria wote walilipa nauli"?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajf,nawapenda sana. Mmekuwa zaidi ya ndugu kwangu!Hata nikiwa na hasira na stress nikiingia humu najisikia faraja sana Kuwepo nanyi nimepata mafundisho na changamoto nyingi. Nawashukuruni...
3 Reactions
160 Replies
8K Views
wadau leo nimekumbuka mbali sana, nimekumbuka sekondari ya Tambaza ya kipindi hiko ikiwa na O-level, jinsi ilivyosumbua sana hapa Dsm kwa vurugu..je unakumbuka madent wakorofi waliosumbua shuleni hapo
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF ningependa sana tujikumbushe mambo yaliyokuwa yanajiri katika kambi za jeshi. Wale waliopitia jeshini, wanajeshi na wanaofahamu vituko vya jeshi watuambie. Siku moja afande aliwakuta...
1 Reactions
35 Replies
9K Views
And thats it! Kuanzia leo thread zangu zote nitakuwa napost humu, kama wanaona zinafit kwingine watazihamisha, maana jukwaa ninalopenda kupost washaona dili kufunga thread zangu. I've made my...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Town bwana watu hawalali,mida imeisha kesho kazi ila watu ndio kwanza wanamiminika viwanja..huu mji bwana.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
mwenzenu madoctor nawaheshimu sana. Ukisikia mtu kachomwa sindano hadi akapalalaizi mguu muhimbili mjue atakuwa ni Paw. mimi nlishamuonya hataki kunisikia. shaurile.
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom