Walipoambiwa na mwalimu wao waandike insha kuhusu sehemu mbalimbali walizowahi kuishi kila mtoto alifanya hivyo isipokuwa mtoto mmoja alikwenda mbali zaidi pale alipoandika kwamba sehemu moja...
Whenever your kids are out of control, you can take comfort from the thought that even God's omnipotence did not extend to his kids.
After creating heaven and earth, God created Adam and Eve. And...
Saa mbili usiku huu nimepokea simu ya nambari ya siri ambapo sauti ya kike ilihanikiza.Mazungumzo yetu mafupi yalikuwa hivi;
Upande wa pili: Hallow!
Mimi: Hallow!,nazungumza na nani mwenzangu...
Wadau habarini za jioni.
Moja ya malengo ya Forum hii ni kubadilishana uzoefu wa skills ama maarifa tofautitofauti, tuliyowezeshwa na mwenyezi kua nao.
Muda mfupi uliopita eneo nilipo kuna...
Namaanisha niyasemayo.
Kama tumeweza kumvumilia Mchambuzi na yale mathread yake marefu kama pasi za Liverpool, na kama imewezekana kuwavumilia FF, MaxShimba et al na udini wao karibu every post...
Nani kamzidi kete mwenzake??
Baada ya shughuli ya
kitandani,demu "gitaa lako
dogooo"
Mshkaji,"sawa lakin ckujua kama:doh:
lingeweza kutumbuiza uwanja wa
taifa"
MUHINDI,MPARE NA MCHAGA
walienda kutoa msaada kwa
masikini lakini walitoa misaada
hiyo kwa masharti haya:
MUHINDI:nachora duara kisha
... narusha hela juu,zitakazo
dondokea kwenye duara za...
Jamaa mmoja alikuwa akivuta bange tena ya tabora,chini ya Mti wa mwembe....alipo maliza kuvuta akalala chali lakini pemben yake kulikuwa na bustan ya Matikiti ...jamaa akaanza kumlaumu Mungu...Dah...
Nilikuwa naangalia kipindi cha hawa jamaa, nimemwona VENGU akiigiza vipi jamani najua JF ipo kila kona huyu jamaa alishapona au ile wameweka aliyocheza zamani?
Nilikuwa nishang'oa mzigo ki- JF JF, ila ban nayo ikaja wakati usio muafaka, nikajikuta nakosa mwana na maji ya moto.
Just show up once mpenzi, halafu nitakuruhusu uende tena, forever!
Alikuja na watu wanane kwenye kanisa la Baptist ulipopelekwa mwil wa Whitney lakini familia ya Whitney ikamkatalia,hata alipotaka kukaa na mwanae Bob Christa familia pia ilikataa.Akaishia...
Naangalia mazishi ya Whitney Huston..kuna mmoja wa bodyguard wake kapewa nafasi ya kuongea msibani.Hivi sisi waswahili huwa tunawapa watu kama hawa nafasi ya kuzungumza msiba unapotokea.Kwa mfano...
:focus:
Katika mazingira yanayoashiria fikra za maisha, wakati mwingine ni kishekesho na uhalisia.Wengi wa wadada wa Tz wamejipanga katika maisha ya kuchuna.sisemi wewe unayesoma thred .Msamiati...
Dereve mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo...
1) Did you know 11% of people are lefthanded
2) Did you know August has the highestpercentage of births
3) Did you know unless food is mixedwith saliva you can't taste it
4) Did you...
msinitanie na sio mzaha kaka yangu kamfumania mkewe wake kapigwa picha analiwa denda na mume wa mtu amekuja kwangu kupata ushauri na mimi tupo sawa kiumri nitamsadiaje
mimi na lala lakini kaka yangu kafumaniwa live ana kiss na mume wamtu naomba ushauri wenu na picha anazo kama ushahidi na hata usiku akilala anamtaja jila lake zaid ya mara tatu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.