Wanyama pori walikuwa darasani.... Mwalimu akauliza 'nani mwenye masikio makubwa'? Simba akacheka sanaaa, kisha akajibu 'PUNDA'. Wanyama wote wakamcheka Punda. Mwalimu akauliza tena 'nani mwenye...
we have an important message for u to know it call this number 002392282380 free
wakuu hii message imeingia kwangu muda sio mrefu.tunaweza kumpata mtumaji??
Kuna familia moja ilikuwa na mtoto tangu azaliwe hajawahi kuongea hadi anafikisha miaka 4. Siku moja akasema Bibi,kesho yake bibi yake akafariki. Ukapita muda kidogo akasema Babu,kesho yake babu...
Jamaa alipiga sim makumbusho mazungumz yalikua hv-JAMAA hapo ndio makumbusho ya taifa?MAKUMBUSHO ndio nini tukusaidie?JAMAA naomb mnikumbushe saa mwaka juz ilipotelea wap?MAKUMBUSHO pumbav ...
Unakuta mtu anakutumia msg,au kuchangia hoja fulani ktk hii mitandao ya kijamii,halafu kwenye neno linalotakiwa S anaweka X.sijui huu mtindo unasaidia nn!!mf;-sasa=xaxa
msusi=mxuxi
aaaagh...
Hivi hizi kandambili tunazozikuta kwenye nyumba za kulala wageni zikiwa rangi tofauti tofauti, haiwezekani zikawa ndizo zinazosambaza magonjwa yanayosababisha wanaume kunuka miguu?
Hapo sasa
Mzee yeye ana jina lakini hana device
Safari ya Radio, ilipotoka mpaka ilipofika.Kama habari inageuka ndivyo sivyo, inabidi mufikie muafaka tu kwa kukubali yaishe, mnapiga Butter...
..napendekeza ziwe zinasogezwa jumatatu kama kipindi cha mzee ruksa. Hii ni kwasababu mfano huku serikalini hamna cha maana kinachofanyika siku ya jumatatu. Ni kupiga miayo, soga, kusoma magazeti...
Habari zenu GT..nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu thread ambazo wanachama wapya wanatupia humu mara nyingi huwa ni za kutaka/kuomba ushauri wa kimapenzi. Lkn miongoni mwao wengi ni wanawake...swali...
A lady with a big boobs entered a bus, she has a rosary around her neck with the cross btw her boobs. D guy beside her could nt help starring, knowing the guy has been starring for over 15mins ...
..kiukweli kondoo ni mnyama mjinga,...Their IQ level is way down there in the single digits....
ebu tusaidiane hapa, imekuajekuaje tukafananishwa na mnyama huyu?
kwa mfano hapa...Isaiah 53:6. We...
Hello FirstLady1,We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today!It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better!Max na Crue yote asanteni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.