JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtu akienda haja ndogo eti wanasema kaenda'short call',akienda haja kubwa wanasema 'long call' kwa hiyo kujamba tuseme ni MISSED CALL?!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Isiwe ndogo saaana, 2. Iwe nzuri na yenye mvuto, 3. Isiwe imetumika mno, 4. Isiwe na umeme, 5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap), 6. Iwe nyeupe na ndefu, 7. Mpangaji niwe peke yangu, 8. Isiwe na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
mheshimiwa atulali usiku vema .mwaka wa saba sasa .tumelalamika mpaka tumechoka .kwa katibu kata .diwani ccm sombetini .mkurugenzi jiji .magazetini .kamanda wa polisi arusha .kituo cha sheria na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeapa kwa mwendo huu lazima nami nitungue kausafiri kangu soon, by any means necessary. Nimefika Posta saa 12 jioni kufuatilia dili zangu. Nimemaliza narudi kituoni nasubiri gari ya 'kwetu' wala...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wala usishangae. Mimi nimekutana nae mwaka huu. Amenidanganyadanganya nikaanza kumshtukia kwa kua amesahau chanzo cha sisi kukutana ni hapa hapa jf na bado ananiambia anaishi ivory coast...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Thursday, 02 February 2012 07:47 Joseph Lyimo,Babati MKAZI kijiji cha Gehandu,Wilayani ya Mbulu Mkoani Manyara, Gainame Mori (61) amefariki dunia baada ya kukabwa na finyango ya nyama...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
nilikuwaa leo naskilizaa mazungumzo ya radio flani,nimeskiaa habari kubwaa zilizo tawala bunge leo mojaa ni kuhusu JAMII FORUM...eti kuna mbunge ameistaki kwa wabunge kwambaa ni mtandao unao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
halo wana JF hivi salamu yetu tanzania ya "shikamoo" ina maanisha nini. Mana mfano kiingereza kuna "good morning" ambayo ni wishes. Naomba clarification.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamume mmoja alimuomba Mungu amjalie ageuke kuwa mwanamke kwa sababu alihisi mke wake anafaidi kubaki nyumbani wakati yeye anapiga mzigo masaa kumi mfululizo. Mungu hakuwa hiyana, asubuhi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mzumgu mmoja alishiriki bahati na sibu ambayo mshindi wa kwanza anapata kiasi dola milion 1oo baada ya kushiriki akapigiwa cm na hiyo kampuni inayoendesha huo mchezo kua yeye ndiye mshindi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hawa jamaa wanatambiana, sijui nani mbabe hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bosi mmoja alipata sekretari mrembo mno.>>Wiki ya kwanza bosi akamhonga yule sekretari simu ya laki 8.>>Wiki ya pili bosi akamnunulia seti ya sofa ya milioni 3.>>Wiki ya tatu bosi akamhonga yule...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko Viitikio: 1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO) 2. Mungu Angalia RAia NGawira...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
sijui kama hii ni kwa wadada wote au wachache tu, ila nimeona wadada wengi wakishoboka sana wakiona mkaka ana mkoko... burudani ni pale unakuta mshkaji ni dereva tu wa gari ya ofisi fulani...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
10. Taxi Driver Driving is stressful, especially when you have to move around the whole city encountering traffic jams, noise, blaming passengers, recklessness, safety of the passengers and many...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
For the past 2 weeks nilienda kijijini kwa kazi zangu za field, sasa nilikuwa na wengangu wawili ambapo tulifikia ki guest house fulani ambacho kwa nje kuna Bar ambayo nahisi ni kubwa kuliko zote...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya kutembea na mke wa jirani yake. Mke huyo wa jirani yake alimpenda sana hawara yake huyo wa nje. Kwa kuwa alimpenda sana alizoea kumpikia wali wa nazi na kuku na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
What would you say hapo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau wote wa burudani, atleast wekend inaanza maana stress za weekdays sio mchezo, wakoloni wanatoa deadline kama hawana akili nzuri, Tuache yote wapenda burudani leo utakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom