Kwenye nyumba nyingi za kupanga Uswahilini chooni kunakuwa na Kopo la kutawazia, na mara nyingi hutumbukizwa kwenye ndoo ya maji iliyopo chooni. Lakini mbali ya shida ya kulenga shimo la choo au...
Jamaa wawili mafariki sana walikuwa na tabia ya kuchangia wanawake, mmoja akishampata anamtaarifu mwezie yule pale tayari na mwezie anatia jitihada mpaka anampata na haya ndio yakawa maisha yao...
Nimekucheki tu tangu jioni ile, sipendi ugomvi wa pili mwaka huu...
Usitafute nikakutangaza adui yangu namba 4 baada ya ujinga, umasikini na maradhi. Chochechonde ndugu, nina uzoefu wa kugombana...
Awali ya yote nianze kwa neno :
Zamani enzi hizo nilipokua nikikaa kwenye mazungumzo na wazee, hasa wenye rika la Babu au Bibi zangu nakumbuka walikua wakisema, HAKUNA MJI USIOKUA NA WAZEE ! kwa...
afu unataka mchango mwez january au feb mwanzon, unataka unieleweje? kodi sijalipa ada za watoto na wadogo zet, kod za viwanja, nk nk sogeza sherehe yako march au april ntakupa ushirikiano murua
Hawa wabunge wa Baraza la wawakilishi kila kukicha wako bize kutuonyesha wao hawataki mambo ya kuharibu mila na desturi zao za kizanzibari
haya imekuwaje wameamua kutangaza pombe?
Tazama hizi...
nataka kufanya biashara ya transportation.......kipanya/daladala....sijajua ninunue gari gani jamani?mie am not into cars...nimeingia ebay...minibuses...ninazoziona ni ford,ldv sioni toyota hiace...
Kuanzia leo nimeona kuwa ile link ya 'New Posts' haipo tena. Imeniwia shida sana kusoma posts humu jamvini kwa vile sijui nianzie wapi. Naomba kama inawezekana link hiyo irudishwe. Natanguliza...
haya maneno nimekuwa nikikutana nayo hapa jamvini ila yamekuwa yakinipa tabu kupata maana ii think wana jamvi mnisaidie
maana halisi ili niweze kwenda sawa na nyie...
- nasikia huko nyuma maji...
1. Aking'arisha viatu wakati anaenda kupiga passport size( picha),
2. Kakaa kiti cha mbele... karibu na dereva halafu anamwambia konda shusha,
3. mtu akimwamsha mgonjwa ili ampe dawa ya...
nimekua nikifatilia comments nyingi za watu facebook na hata huku JF..na hua nakutana na haya maandishi 'lol' kwa watu wengi..je haya maandishi yana hulka ya mwandishi ni...
A man was driving down the highway with a car full of penguins. Penguins sticking out the windows, penguins coming out the sunroof, penguin everywhere. A cop pulled him over and told him if he...
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba zile Koo ambazo wamezaliwa wanaume wengi au wanaume watupu zina ushirikiano kidogo sana miongoni mwao kulinganisha na zile Koo zenye wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.