[ILIKUA NI LIFTI - VIJANA OCHESTRA(Hamza Kalala)]
Haikua jambo baya kwangu
Kwa yule kijana kumpatia lifti
Kama unavyohamu yapata wiki ya tatu
Gari langu lina matatizo ya kuzimikazimika...
(1)Nikiwa matembezi mtaani hapa iringa,nimekutana na bibi kizee mmoja kalewa ulanzi chakareee anatembea kwa kujishikilia ukutani huku akiimba wimbo wa Dogo Aslay;(Tena inaniumaaa...
Unapomtambulisha mchumba wako kwa wazazi wako kumbe ni ndugu yako wa toka ntoke
unapotangaza umefaulu shule kali kumbe umefananisha majina
unapojifanya unasoma gazeti la kiingereza kwa...
jamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
Wanajamvi wenzangu, katika kupambana na hali ngumu ya maisha, nimejiingiza kwenye fani ya uigizaji, na filamu yangu ya kwanza kushiriki inatoka wiki ijayo, inaitwa In the Line of Death
Katika...
jana nilkua na gelfrndz wangu wawili na tukiwa club tukakutana na kaka wawili nao ni rafiki zetu. Bada ya kupata shots kwenda mbele mm na wenzng tumeshtukia tupo kitandan lkn wote hatukumbki...
Niko eneo la Ukonga, eneo la mombasa,jirani kabisa na ukumbi maarufu wa wenge. Kumefurika umati wa watu! Watoto kwa wazee! Katikati yuko mtu mmoja anakilemba chekundu. Nyuma yake vijana 3 wanapiga...
nashangaa nlilikuwa nasafisha nyumba mara nikamwona buibui kakamatwa kwenye web yake mwenyewe kafa,
nikajiuliza kumbe waweza tega ukanaswa kwenye mtego wako mwenyewe
au ni wazembe kama wale nyumbu
Jaman mko wapi members wa kituli sekondari.Enzi za akina elisante,kombo salehe,Ester kapanda,sabas michael,moza rashid,deus Maganga,Nawamiss sana jaman.Wapi kadama malunde,anthony pius.Enzi za mwl...
Mteja siku#1;naomba chakula cha mbwa. Muuzaji;Una mbwa kweli?,sikuuzii mpaka umlete huyo mbwa.> Mteja siku#2;naomba chakula cha paka.Muuzaji;sikuuzii mpaka umlete huyo paka wako nimuone...(siku...
Jamani namuomba mkuu "Invisible" awatangazie wana JF popote pale walipo tukutane japo mara moja na kuweka historia. Ila itabidi katika mkutano huo kuwe hakuna pombe wala kitimoto! ili kila mmoja...
Mgonjwa:daktari nina matatizo ya kuota kila siku panya wanacheza mpira
Daktari:basi nitakupa dawa utumie leo ukifika nyumbani
Mgonjwa:daktari nitatumia kesho mana leo ndo watacheza fainali
Kuna jamaa alikua muongo kupitiliza ila tatizo anasahau haraka anapodanganya.
Kuna siku alikua anawahadithia watu
> Juzzi tulienda polini kuwinda,tukamwona swala tukaanza kumkimbiza mi nilikua...
siku moja gangsta aliamua kuacha mambo ya ujambazi na kumrudia mungu.siku ya kutoa ushuhuda ilipofika hali ikawa hivi
mchungaji:unajiskiaje kuwa katika bwana
gangsta:man it was f*kn unbelievabo
Mganga wa kienyeji alienda msituni na watu wake. Wakaenda wakafika kwenye mti wa mizimu. Basi mganga wa kienyeji akawambia watu wake. Mimi napanda juu ya mti. Nitakachoongea kifatisheni, hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.