JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
...............................Peter na mdogo wake John walikuwa wanalala kitanda kimoja cha spring na wazazi wao.wakati wa usiku wazazi wao walikuwa wanavizia peter na john wamelala na kuanza...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Juzi usiku katika maeneo ya Msasani Bonde la Mpunga....Ndugu Waziri Ally mkazi wa maeneo hayo..alifumaniwa na mke wa rafiki yake akiwa Bar......... JF Chit -Chat Kuna siku niliwahi kununua...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Zipo za kila aina, nyingine sura bayana ya mhusika nk, wewe yako chanzo chake kipi? (hope this was never discussed before), la kumradhi!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu 2mshukuru mungu kwaku2shugulilisha na miangaiko ye2yote yakutwa nzima, jamani 2mshukuruni kwanza mungu kwani ame2tendea mema. Na pili jamani, wakuu tupumzike japo mudahuu kidogo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Konda wa daladala akiwa ndotoni........"dereve toa..to..toa" huku akigonga kwa nguvu kwenye mlango............kwa kuwa alikua usingizini ule mlango ukageuka mkewe...........
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi. Naomba kuuliza ili suala eti kunuka mdomo kwa mpenzi wako Mume/Mke au Mchumba, kunaweza kuhatarisha mahusiano yakavunjika kwa kero ya kunuka mdomo. Wadau wa Chit-Chat
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni leo tu ndiyo nimegundua kuwa kuna member alianzisha thread ya debate juu ya tofauti kati ya maisha ya mjini na yale ya kijijini. Naomba nichukue fursa hii kuomba msamaha kwa mashabiki wangu...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya wapendwa wa JF. Leo nipo tena kwenye avatar za Jf. Kuna avatar humu. kila nikiziona zanikumbusha watu, kitu au mahali fulani: Orodha ya avatar na majina ya watu/vitu...
1 Reactions
94 Replies
6K Views
HUYU MWANAMKE MZIMA AU MWEHU????? HEBU SOMENI HII Tiger Woods
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Wahehe katika kijiji kimoja mkoani iringa ambao hawajawahi kumuoana mzungu siku moja vijana wakihehe wakikatisha mitaani wakamuona mzungu wakapiga kelele wakisema nguruwe mzungu akesema No...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
tena wengi wao nimekutana nao humu ndani et mtu anareply with quote sired yenye page mbil alafu anareply hata mstar mmoja haujai et anaandika ''We mkali kwel''
1 Reactions
8 Replies
914 Views
na hamu ya kuanzisha sredi ila sina jambo la maana nataka sehemu ya kupiga soga tu naogopa kuchakachua sredi za watu bure mwishowe waninunie kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress...
3 Reactions
322 Replies
20K Views
Mashosti.wangu nisaidiene. jamani am soo down. nashindwa hata kufanya kazi ilhali nina a lot of dedlines to meet. I cant really tell why am having these feelings. Jioni Njema mashosti. Let me...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hebu fikiria mtu anakuuliza 'Waliopewa tenda za ujenzi na kuonesha uwezo mdogo, je, wanyang'anywe wapewe wenye uwezo?' Hilo ndilo lilikuwa swali la kipima joto ya itv leo. Sasa najiuliza hili ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanafunzi kajisomea muda mrefu,kachoka na wala haelewi anachokisoma.Akaamua ku-flip coin ya sh.50,akasema;ikidondokea upande wa Mwinyi>nitalala.Ikidondokea upande wa Vifaru>nitaangalia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiwauliza wahehe wengi hapa iringa wanapendelea chakula gani,wengi watakujibu;ugali kwa maharage.Kwa kihehe maharage yanaitwa dogi.Hivyo wao watakujibu;tunapendelea kula ugali kwa dogi.Mh...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna mdahalo uliendeshwa hapa janvini.. Na wahusika wakuu ni huyo aliyetajwa hapo juu upande mmoja na upande mwingine ni kiranga himself. Kwakwel mdahalo huo ulianza kwa mbwembwe nyingi, lakini...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
vilaza, wenye akili akili kama mm, wachovu, werevu kama mm, wabish, masupar star kama mm, wakali, wapole kama mm, wabaya, wazuri kama mimi, woooote mnakua level moja mkichangia. Bonus kuna watu wa...
1 Reactions
119 Replies
7K Views
Kwanza kabisa naomba nisionekane mimi sina mila ya Kiafrika ya Kupenda wageni, kwa kweli mimi napenda sana wageni tena sana, lakini wageni wa JF wanaboa bwana. Utakuta mada iko juu mpaka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nko usukumani matatzo ya lugha ni km haya, soda:unachota mamchele:unachota mahela:unayachota tu mabiskut:mkachote tu umo ndani
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Back
Top Bottom